MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,734
Tunawaambia siku zote kwamba watu wakue kuna mwisho, na gharama za mabaya zitalipwa hapa hapa Bongo.
CCM hawajifunzi hata kwa yanayoendelea huko Duniani. Wanaamini wanavyoamini wanaamini hii nchi ni yao.
Bint wa José Eduardo dos Santos aliyekuwa Rais wa Angola ameanza kuandamwa na Utawala mpya.
José Eduardo dos Santos mwenyewe alikuwa pia katili na alikandamiza upinzani vilivyo na upendeleo wa kila aina.
Na tukumbuke Rais wa sasa alipandikizwa na José Eduardo dos Santos ila jamaa kamgeuka.
Wakina Bashite and company kumbuka kuna siku mtalipa gharama za mnayoyafanya hata kama ni baada ya utawala wa 4 kutoka sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app