José Eduardo dos Santos, mwisho wa ubaya ni aibu

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,461
8,671
Tunawaambia siku zote kwamba watu wakue kuna mwisho, na gharama za mabaya zitalipwa hapa hapa Bongo.

CCM hawajifunzi hata kwa yanayoendelea huko Duniani. Wanaamini wanavyoamini wanaamini hii nchi ni yao.

Bint wa José Eduardo dos Santos aliyekuwa Rais wa Angola ameanza kuandamwa na Utawala mpya.

José Eduardo dos Santos mwenyewe alikuwa pia katili na alikandamiza upinzani vilivyo na upendeleo wa kila aina.

Na tukumbuke Rais wa sasa alipandikizwa na José Eduardo dos Santos ila jamaa kamgeuka.

Wakina Bashite and company kumbuka kuna siku mtalipa gharama za mnayoyafanya hata kama ni baada ya utawala wa 4 kutoka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MURUSI,
Dua la kuku, muombe Mungu azidi kukupa baraka kwenye maisha yako, kuhangaika na mambo mengine ni kujitia maumivu kwa makusudi.

Trust me, kuna watu wanakula hata hapa duniani na mbinguni pia watakula bata pia.
 
Hata José Eduardo dos Santos alikuwa anaongea hivyo hivyo, gharama zitalipwa hata kama ni kizazi cha 10 kitoka sasa,
Dua la kuku........muombe Mungu azidi kukupa baraka kwenye maisha yako, kuhangaika na mambo mengine ni kujitia maumivu kwa makusudi.

Trust me, kuna watu wanakula hata hapa duniani na mbinguni pia watakula bata pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia 90 ya viongozi wote waliofanya udhalimu na unyanyasaji kuua pia walipokuwa madarakani Mambo yaliwageukia wapo au watoto hata wajukuu zao ,,pia
Mambo ya akina
Mobutu sese seko kuku ngwendu wazabanga
IDDI amini Dada nduli
Charles taylor,
Hasting kamzu banda
Jonas savimbi
Omar el Bashir
Kina obiang
Na wengine wengi tu
Ukweli haujifichi na muda ni mwalimu mzuri Sana ,,,kama uliua kwa upanga lazma ufe kwa upanga tu ,,tenda mema ishi na watu vizur kuwa kwama akina
Valentine strasser na kina Tomas Sankara ,utaishia pazur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom