José Eduardo dos Santos, mwisho wa ubaya ni aibu

Kumbe ndo maana Watawala wengine huwa wanatokwa mapovu Sana wakati wa uchaguzi,wanajua madhambi waliyo yafanya eee!.
Ya kwamba akiingia mtu ambaye hazipandi anaweza kunivua nguo na kunifirisi kila kitu.
Ukikumbuka yule jamaaa...Hadi kuwatukana Wapiga kura,kumbe alikuwa anahofu vitu Kama hivi eee!
 
Well done Angolans! Bado Tanzania. No one has ever gotten away with evil. No one! Karma is real; very real!
 
Familia yake inalimia meno still akiwa hai,mfumo ukishakutema wewe si lolote si chochote utabaki na jamii uliyoitupia mawe ukiwa kwenye daladala
 
Tunawaambia siku zote kwamba watu wakue kuna mwisho, na gharama za mabaya zitalipwa hapa hapa Bongo.

CCM hawajifunzi hata kwa yanayoendelea huko Duniani. Wanaamini wanavyoamini wanaamini hii nchi ni yao.

Bint wa José Eduardo dos Santos aliyekuwa Rais wa Angola ameanza kuandamwa na Utawala mpya.

José Eduardo dos Santos mwenyewe alikuwa pia katili na alikandamiza upinzani vilivyo na upendeleo wa kila aina.

Na tukumbuke Rais wa sasa alipandikizwa na José Eduardo dos Santos ila jamaa kamgeuka.

Wakina Bashite and company kumbuka kuna siku mtalipa gharama za mnayoyafanya hata kama ni baada ya utawala wa 4 kutoka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nilifurahi Sana alivogeukwa anasomeshwa namba sasa kama watakavogeukwa watarajiwa.Altaka kumtumia Wa sasa awe loudspeaker akishika remote mambo yamemgeukia safi Sana.Maisha ni upepo siti ya daladala haina mwenyewe
 
Back
Top Bottom