Mzee Ronaldo mbona hapewi ili wafanye biashara maana yeye ndio mwenye followers wengi kwenye social media zote.
Pia anapendwa zaidi na wadada hata wasiofuatilia mpira. Ni kama Brazil ya 1995-2010.
Tuache ushabiki Messi na uzee wake ameonesha consistency mwaka 2021 ameshinda copa America na kuwa mchezaji Bora, mfungaji bora na mtoa assist bora.
Pia pamoja na ubovu wa Barcelona alimaliza msimu kama mchezaji Bora La liga, mfungaji Bora La liga na play maker Bora La liga.
Acha takwimu ziongee sio maneno matupu.