Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,502
- 8,690
Jana dhidi ya Ajax amepiga penalty mbili yaani kama wewe ni kipa unaweza mtia ngumi anafunga penalty kwa dharau mno
Yeah yahitaji ufundiAnachofanya anacheza na akili ya kipa,ukiangalia kwa umakini hiyo video ya pili kuna vipande akitaka kupiga mpira anafanya kama anaruka kupiga shoot la nguvu kuelekea upande fulani ila anabadilika hapo hapo akiwa ameshajua kipa amepotea anapiga kidogo tu nyavu zinacheka.