Gray Ze Don
Member
- Aug 18, 2013
- 36
- 3
Dada yng amechaguliwa hapo
Ole wenu mu mgegede
Mm nmemaliza second university in tz found in moro twn
Duh!anaitwa nan dadako ili nimuunganishe kw dada fulan hv wa sociology mwk wa pili.ataweza mpa ata nuru ya course kw hpa juco
Unga hiikama bado hujajiunga na group la whatsup fanya kuweka no hapa nikuunge fasta
[emoji15] [emoji15] [emoji15]kw wavulana njoo ukijua juco hkn hostel ya chuo.ni kupanga au kucheck hostel za watu binafc.
mbona ushaungwa tayaliUnga hii
0764736212
Bro Gray hostel za nje na hzo nyumba zakupanga gharama ikojekw wavulana njoo ukijua juco hkn hostel ya chuo.ni kupanga au kucheck hostel za watu binafc.
Kwani Jordan iko Ulaya??Hivi Jordani University mi nilijua iko Jordan huko Ulaya
Kumbe ni bongo hapa hapa!!?
Nili mis present , nadhan iko AsiaKwani Jordan iko Ulaya??
kujifanya mjuaji ushaaribuuu uuhNili mis present , nadhan iko Asia
Khaaaa!!kujifanya mjuaji ushaaribuuu uuh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
teh, ulisema Jordan iko ulaya, ulitaka kumkejeli but umejikejeli mwenyewe.Khaaaa!!
Sasa shida nini ishu nilidhani kuwa Jordan iko nje ya nchi
Nilikuwa si ijui, au ulitaka iweje yaan!!?
Khaaaa!!!teh, ulisema Jordan iko ulaya, ulitaka kumkejeli but umejikejeli mwenyewe.
na wewe ni wa hapo mkuu? mm nimehtim juco mwaka huuni chuo safi sana, kinauongozi mzuri,mandhari nzuri, ni tawi la saut kipo mjini. Ni chuo kama umechaguliwa hapo hakika hautajutia kusoma hapo. Welcome Jordan University College in Morogoro.
ndo uache kukurupukaNili mis present , nadhan iko Asia
Sikukurupuka nilikoseando uache kukurupuka
kwanini hukuuliza kama nchi ya Yordani/ jordan iko ulaya au asia? badala yake umekimbilia kukejeli na kujikuta umejikejeli mwenyewe, kuwa makini mkuuSikukurupuka nilikosea
Ujumbe ni kuwa niliijua nchi ya Jordani lakin nilidhani iko ulaya
So hayo mambo yapo.
Pia nikajua chuo cha Jordani kiko nchin Jordan
Shida nini apo!!?
Nyie ndio mmeona kejelikwanini hukuuliza kama nchi ya Yordani/ jordan iko ulaya au asia? badala yake umekimbilia kukejeli na kujikuta umejikejeli mwenyewe, kuwa makini mkuu