vice principle Fr. MUHOZA ni kauzu zaid ya dagaa wanafunzi walipotaka kuandaman akasema ataenda mwenyew bodi, ameenda bodi wakamwambia serikali haina hela aliporudi akasema msubiri serikali itimize wajibu wake. Kama kuna anaetaka kuandamana aandamane halafu wakutane. Mbaya zaid amewaambia hayo maneno wanafunz wa mwaka wa 3 ambao wanahesabu wiki 2 wamalize.... Nani atagoma?