Joomla Web Developers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joomla Web Developers

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kiguhu, Aug 23, 2012.

 1. Kiguhu

  Kiguhu Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have developed the same website using two languages (English and Swahili) but they all refer the same website. What I need is when the visitors visits they should first select language then be directed to the specific web language NB: I don't want to use Google Translate. Any help on how to do this?
   
 2. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kiguhu

  Kiguhu Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes something that look like that
   
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  create a index.html page. Inside it you can put an image as the one in the demo I showed above. Beneath it, you will now put links to the english and swahili version. This is the manual solution. I don't know if there's a plugin for that yet.

  IMPORTANT: Make sure the name of the file is index.html. Servers usually load the index.html first then the index.php.

  View attachment 62677
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  nadhani what muanzishaji wa mada means is, anataka website yake ya joomla iwe bilingual, wani kuwe na option ya kubadili lugha utakapokuwa popote kwenye tovuti, sio lazima uwe unarudi kwenye index.html, sababu itabidi utengeneze site mbili ambazo zitakuwa kama clones moja ya kiswahili nyingine ya kiingereza.........

  Kuna extensions kwa ajili ya kuswitch language whenever u want wherever u want kwenye sites za joomla. Ukienda kwenye website ya joomla extensions nadhani atapata tu, ngoja nijaribu kucheki kama ntaona ntawasilisha hapa
   
 6. Kiguhu

  Kiguhu Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks Givenality, mwanzo nami nilikuwa na wazo hilo but I thought may be kuna njia nzuri zaidi which will help especially kama visitor akiwa to any page. MtotoSix plz isiwe Google Translate coz I hate it coz I have two website (Swahili and English) Ready
   
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  kama tayari una site mbili cha kufanya ni kutngeneza module ambayo utaiassign kwenye menu zote halafu.. module iyo itakuwa na link ya site zote mbili ili mtu akijisikia kuhama ana hama muda wowote


  kama site yako ni moja na ungependa kufanya iwe na lugha mbili hapo kuna kaufundi kidogo kana hitajika, nimejaribu kwenye localhost yangu naona imekubali site imekuwa multilingual GIVENALITY Kiguhu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kuna njia mbili za kufanikisha hilo kutegemeana na aina ya version na nini unachotaka kufanya.

  1. Kutumia static landing page:
  Hii inafanana na mtindo waliotumia RipotiRushwa Campaign Tanzania yaani mtembeleaji atachagua lugha kwenye kurasa ya mwanzo na baada ya hapo, utakuwa na folders mbili, moja ni kiswahili na nyingine ya kingereza.

  Faida Mtembeleaji anachagua nini anataka kwenye hatua ya kwanza.

  Utata: Kama haupo fiti kwa sana kwenye joomla, inabidi uwe na website mbili tofauti kitu ambacho kitaongeza kazi kwa administrator kwani tovuti ya kiswahili na ile ya kingereza zipo kwenye folders tofauti. Ingawa unaweza kusynchronize users kwa kutumia baadhi ya plugin, ila zinahitaji ufundi kimtindo na ni ngumu kwa mafaili, so kwa mtu ambaye hana ujuzi wa kutosha anaweza kuishia njiani.

  2. Kutumia Joomla multiple languages:
  Uzuri wa Joomla 2.5 imekuja na hii kitu, yaani siku hizi hatuhitaji tena Joomfish ili kutengeneza tovuti ya lugha nyingi, nimetengeneza tovuti yenye lugha hadi nne, tena zikijumuisha hadi zile za RTL (kama kiarabu na kihebrew). Ukishamaliza unaweza tumia Module (Vijibendera) kumfanya mtembeleaji kuchagua lugha anayotaka, pia kwenye backend unaweza kuset kuwa ama watembeleaji watapelekwa kwenye site ya lugha moja then wabadili wenyewe (default language) ama lugha iangalie lungha inayotumika kwenye browser.

  Faida: Ni rahisi kuimplement, kumanage na kiutendani.
  Utata: Kwakuwa hadi sasa hakuna language pack ya kiswahili, kama unaijua Joomla vyema, inakubidi kutengeneza language pack yako mwenyewe (Wengi wamekuwa wakitumia option ya 1 juu ambapo , wanachukua ile ya kingereza halafu wanabadilisha mafaile kwenye .ini) tatizo lingine ni kuwa ni wachache mno wanatumia browser zenye lugha ya kiswahili, hivyo ni ngumu kuifanya hii process automatic.

  NOTE: Kutengeneza language pack sio kazi, ila inahitaji patient, bado tunamalizia maneno fulani kwenye pack ya kiswahili, then nitashare hapa ili wadau wafaidike.

  Kama ningekuwa wewe: Kama ningekuwa wewe, ningetumia option ya pili kwakuwa ni scalable na stable, pia inaonesha ukomavu.

  Picha inaonesha tovuti moja ya E Commerce ambayo tumetengeneza ina lugha nne, hii kuonesha uwuzekano wa hili.

  Msaada zaidi: Kama bado una utata au unahitaji professional help, ni PM kuona ninakusaidiaje. Pia unaweza kuangalia tutorials jinsi ya kufanya hivyo kwa kiswahili.
  12. Kusetup tovuti yenye lugha nyingi kwenye Joomla - Part 1

  13. Kusetup tovuti yenye lugha nyingi kwenye Joomla - Part 2  Hope nimesaidia.
   

  Attached Files:

 9. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145

  njia uliyozosema ni sawa sawa, language pack ya kiswahili ipo kuna jamaa wanafanya project hiyo (sw-ke) na (sw-tz) Google it..........nimejaribu kudevelop site kwenye localhost ili iwe mulltilingual imekubali ila ishu iko kwenye language pack, nimegundua maneno mengi hawajatranslate kama inavyotakiwa, na pia ukiwa unatumia components kama k2 au jcomment, jomsocial na zingine itabidi pia utranslate pia kila language pack ya kila component ndo tatizo nnaloona kwa hii njia ya pili
   
Loading...