Bartender yemyewe ni idea ya Mkasi,tofauti location.Program moja kwa wiki lazima watu wakusahau, tofauti na ukiwa masikioni mwa wasikilizaji kila siku
Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa, Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool, lakini content ile ile unamwita msanii una muhoji na kupiga naye story.Kwenye Mkasi, lini muhojiwa na muhoji walicheza games,kunywa kinywaji,
Duuh 🤔Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.
Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini,wageni watakula na kunywa lkn content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.
Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.
Same to Salama Na.., si ndio..?Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.
Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini,wageni watakula na kunywa lkn content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.
Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.
Watu hadi wameyasahau madevu yakeProgram moja kwa wiki lazima watu wakusahau, tofauti na ukiwa masikioni mwa wasikilizaji kila siku
Kwenye Mkasi, lini muhojiwa na muhoji walicheza games,kunywa kinywaji,
Kwahiyo mnazungumziaje SALAMA NA.Ndio maana ni kasema tofauti location saloon utanyolewa,Bar utapewa vinywaji na kucheza game kama pool,lkn content ile ile una mwita msanii una muhoji na kupiga nae story.
Sawa na mimi ni andae kipindi Hotelini, wageni watakula na kunywa lakini content ni ile ile ya kuwahoji na kupiga nao story.
Yaani Sheikh ni yule yule tofauti kanzu.
Aje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao.Bartender yemyewe ni idea ya Mkasi,tofauti location.
💯Same to Salama Na.., si ndio..?
Nzuri .Aje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao,
Anafika anawahoji wasanii husika wakiwa makwao huku anawasaidia kazi ndogo ndogo(kama kufagia ndani, Kusafisha Garden, kuosha vyombo n.k)
Hebu assume Jonijo anamuhoji Platnumz huku anasafisha fridge za plutnumz pale Madale
Kwahiyo mnazungumziaje SALAMA NA.
NA?
HahahahahaAje na idea ya kuwafuata wasanii majumbani kwao,
Anafika anawahoji wasanii husika wakiwa makwao huku anawasaidia kazi ndogo ndogo(kama kufagia ndani, Kusafisha Garden, kuosha vyombo n.k)
Hebu assume Jonijo anamuhoji Platnumz huku anasafisha fridge za plutnumz pale Madale
Nakuelewa masta, nachangamsha Genge, Vitu vingi vimeishafanyika, hata BIG SUNDAY LIVE, ni marudio tu, but kwa kwetu huku na kama hufatilii mambo tunaona ni kitu kipya.Mayowela tulia wakali wa hizi kazi tukupe mambo yanavyokua, hakuna idea mpya now zote ni marudio tu,kama haipo bongo basi ipo kwa wenzetu cha muhimu ni kuboresha tu.
Nakutana na ideas kibao kali lakini ukizisoma na kuzichanganua unajua kuwa ni idea ambayo ipo ila imeboreshwa kuficha mapungufu ya ambayo ipo.
Hata hiyo gerezani unayosema japokuwa sijapata nafasi ya kutazama,ni idea nyepesi sana kwa sisi tunaokutana na ideas nyingi,ila kwa mtu asiye wa entertainment na mambo ya media yeye yupo kama mshabiki tu lazima aone ni kitu kikali na kipya sana.
Kwa sasa ni hayo tu.
NA....???