Joni Joniii amuumbua Rose mwalusamba!!

Joni Joniii amuumbua Rose mwalusamba!!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,371
Reaction score
88,587
Joni:Ok ok can you introduce youself
RM:I'm rose from cuf mbeya,I'm cuf nec member,I'm married with three creeds
Joni:Unasema umeolewa na three creeds au unasema umeolewa na una watoto watatu?
RM:I'm married with three creeds
Joni:Ok tuache hayo haya twende kwenye professionalism
RM:My proffesional is polotician,hevingi hevingi having knowledge in political science and international relationship
Joni:Usipanic mama subiri kwanza,unasema?
RM:hevingi having knowledge in political science and international relationship
Jonii:Ok haya twende kwenye Daily Bread
RM:My daily blade is contractor,I have a company noni as tanzanian yangi ladies,I'm very grad I'm sorry to say I'm withdraw my name as candidate because due.

Nawasilisha
 
Mkuu, unanikumbusha mambo ya mjengoni, kizungu sio mchezo!
 
Hahahahahahahahahahahahahahah aisee ctasahau hii kitu... Ayam kamin from kafu mbeya,meredi wis srii crids
 
Jamani namfahamu huyo dada,ilitokea lini hiyo.na huyo Joni John ni nani?
 
usifanye mchezo na ki-english bana,hadi dada wa watu akaona ubunge East Africa isiwe issue aka resign,chezea kidhungu wewe,koo litauma:redface:
 
me cjui kingereza vizuri lakin sikuile nilicheka saaaaana!! hata wasiojua kama mm nao walicheka saaana!!
 
Kwa pale mama alimdhalilisha pakubwa Prof. LIpumba kwamba hata tukimpa nchi anaweza kuteua watu wa namna ile. Au ndo kusema chama kilishaishiwa watu wa kuwateua? Japo najuwa hata Lipumba mwenyewe anajuwa hatokuja kuiongoza nchi hii kama Raisi labda ateuliwe kama mwenzake Mbatia.
 
chezea english huo ni wito kama upadre na c uchungaji
 
Back
Top Bottom