Jongoo ana nini mpaka wanawake mumuogope?

Kila nikipitisha jicho langu nakutanana na huu uzi [emoji34][emoji34]

Hilo jongoo jamani linanitesaa nikilionaaaa mh
 

mtoto mdogo wa kiume wa umri wa miaka 8 anaweza kuwa shujaa zaidi ya mwanamke wa miaka 40 anayeogopa jongoo.watoto wenyewe hawaogopi jongoo lakini utashangaa limama lizima linaogopa huwa wanajifanyisha tu
 
unamaanisha kama huyu mkuu maana nilikuwa sijui kama kuna jongoo bahari
 
Mkuuu subiri nikafanye uhakiki wa hiki then nitarud
 
View attachment 499692unamaanisha kama huyu mkuu maana nilikuwa sijui kama kuna jongoo bahari

Hapana sio kama huyo, ni Hawa hapa chini ndio jongoo Bahari uliokuwa unasema, hawa ndio wanaouzwa nje na hawaruhusiwi kuvuliwa kwa Tanzania bara, ila kwa Zanzibar wanawavua
 

Attachments

  • 17862706_1905311366415618_147950993096450433_n.jpg
    55 KB · Views: 72
  • 17425106_1891972114416210_5673007929924776290_n.jpg
    23.5 KB · Views: 68
mtoto mdogo wa kiume wa umri wa miaka 8 anaweza kuwa shujaa zaidi ya mwanamke wa miaka 40 anayeogopa jongoo.watoto wenyewe hawaogopi jongoo lakini utashangaa limama lizima linaogopa huwa wanajifanyisha tu
Wanatukata stimu kwa kuogopa vitu vya ajabu ajabu,
Kuna siku nilitaka kuchinja kuku, sasa nikamwambia dem anishikie nikachukue kisu, dah ile namkabidhi hivi yule kuku akarusha mbawa kidogo basi yule dem alimrusha huku akipiga mayowe, kile kitendo cha kumuachia kiliniudhi sana manake ilinipa kazi ya kuanza kumkimbiza yule kuku
 


Nahisi wanamfananisha na dushelele linalo litembea likiwa na miguu Zaidi ya 1000.
 
mwenye tabia hiyo tuliambiwaga ni Kenge, sijui kweli

Nakumbuka pia hii issue ya kenge kunyonya ubongo kwa kutumia ulimi.

Zilikuwa story tu za kutuzuia kucheza maporini.
 
Kiukweli me siogopi jongoo,nyoka,chura,kinyonga nawashika kabisa labda kutoka na nature ya kibarua changu isipokuwa mende especial yule anaye paa maana anakaa kama anakukimbiza unaweza gongana na ukuta
 
sijajua labda enzi za utoto wamama walikuwa wanatumia njia hii ili waache kukojoa kitandani,mimi ni mwanaume lakini kunakipindi cha nyuma sikuwa rafiki na chura kabisa nikimuona lazima nimpekipigo lakini yote nikwa imani niliyojijengea baada ya mama kutumia mbinu hii kunitisha niache kukojoa kitandani enzi za darasa la pili hasa kipindi cha baridi.Alikuwa ananambia ukilala leo nakufungia chura kiunoni ukikojoa tu chura anauma dudu,japo ilikuwa utani tu hakuwahi kufanya hivyo ila ilifikia hatua nikawa na wahate sana chura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…