Nwl chalm nawz
Member
- Feb 19, 2013
- 8
- 0
Hi jf ukitaka kutumia hizo jokes hapo utatumiaje. Kama vile kumtumia mtu kwenye sms plz. Thnx
Unachukua jokes/utani wako.
Unauosha vizuri na maji,baada ya hapo unakausha maji,then unakunja vizuri jokes/utani wako
unaupack ktk box tayari kwa kutuma
Unachukua jokes/utani wako.
Unauosha vizuri na maji,baada ya hapo unakausha maji,then unakunja vizuri jokes/utani wako
unaupack ktk box tayari kwa kutuma
aaaaaa ama kweli walioko hapa ni machizi anyway thnx gayzHi jf ukitaka kutumia hizo jokes hapo utatumiaje. Kama vile kumtumia mtu kwenye sms plz. Thnx
kama unataka kumtumia mtu kwenye simu ni rahisi sana, angalia hatua zifuatazo:-Hi jf ukitaka kutumia hizo jokes hapo utatumiaje. Kama vile kumtumia mtu kwenye sms plz. Thnx
Acheni uwongo Ni hiviii, chukua jokes kama kilo mbili, nyaya 5 vitunguu 2 na usishau pilipili kichaa Kisha kaanga kwa moto WA gesi akiiva mpakue na kumfunga kwenye box na mwisho mtuma kwa mpenzio