Jokes: siku Moja wanaume tuweke kamgomo Kwa wanawake

Jokes: siku Moja wanaume tuweke kamgomo Kwa wanawake

Atanandi

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
341
Reaction score
485
Yaani natamani mgomo wa siku mbili wanaume tusiwatumie wanawake vocha ,zawadi au hata kuwatoa out .hata pombe au soda tusiwanunulie

Wazazi,wanandoa,wagonjwa hawapo kweny jambo hili



Nini kitatokea
 
Aisee ni ngumu sana humu tu tunaponda single mumamaz lkn huku mtaani tunawadinya vbya sana

Tunasema KATAA NDOA lkn kila siku pilau mtaani zinalika watu wanapambania ndoa

Tunakubaliana tupige nyeto lkn mpaka saiv nimebaki mwenyewe na sabuni zangu Shahidi Eva wa kwenye sabuni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu huwezi amini C'ssy nimeiandika huku kichwani nasema, ahsaaaante..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii Imeenda mdogo wangu....

GNako kitu ametufanyia....Roho wa Bwana atashughulika naye...
 
Huo ubavu hawana huo ndiyo ukhalisia, wanatuponda ila hii dunia bila wanawake haina maana wanafahamu hili vyema..!!

Wanabishana na Mungu aliyewaletea wanawake, watakula kwa jasho mpk wanaingia kaburini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani natamani mgomo wa siku mbili wanaume tusiwatumie wanawake vocha ,zawadi au hata kuwatoa out .hata pombe au soda tusiwanunulie

Wazazi,wanandoa,wagonjwa hawapo kweny jambo hili



Nini kitatokea
Mkuu unahangaika naye wa nini huyo, piga chini.
 
Back
Top Bottom