Sio sawa mkuu. Kuna watu walikufa kwa kulinda heshima ya imani yako. Kukataa mizaha ya kijinga ni tribute kwa hao mashujaaWakristo wameumbwa kuwa wapole.
Hii ni sifa ya kujivunia.
datz is what i like abt muslim hawapendi utan kabisa na dini yao na ukitania wanakua wakali kwel kwel...ila hawa washamba wanaotania dini ya kikristo huwa wananikera sana na nashangaa kwann wakristo huwa hatumind kama wenzetu...me nadhan iman sio kitu cha kufanyia mchezo inabidi tuanze kuwaiga ndugu zetu...kukemea mtu yeyote anayepost jokes kuhusiana na iman za kidini
Utani una maana yake. Utani ni kuwa kinachosemwa sio cha kweli (if I am not mistaken by thinking) ndio maana people never mind. Elewa utani, sio ukweli. Mbona wanamuziki sometimes wanavaa majoho ya maaskofu, filamu ya sister act ilipendwa sana etc.
datz is what i like abt muslim hawapendi utan kabisa na dini yao na ukitania wanakua wakali kwel kwel...ila hawa washamba wanaotania dini ya kikristo huwa wananikera sana na nashangaa kwann wakristo huwa hatumind kama wenzetu...me nadhan iman sio kitu cha kufanyia mchezo inabidi tuanze kuwaiga ndugu zetu...kukemea mtu yeyote anayepost jokes kuhusiana na iman za kidini
Kwanini ushindane na wasio na elimu na waliokosa maarifa? Kumbuka hawa wenzetu kwasababu ya inferiority complex yao ndio inawafanya watumie mabavu. Kwetu sisi busara zinatoshaSio sawa mkuu. Kuna watu walikufa kwa kulinda heshima ya imani yako. Kukataa mizaha ya kijinga ni tribute kwa hao mashujaa
Acha kuwasifu. Hawa hawaoni kama dini za wenzao ni dini. Ndio maana wanawaita wasio waislamu "Kafir", a derogatory term to accept!!!
Kwanini ushindane na wasio na elimu na waliokosa maarifa? Kumbuka hawa wenzetu kwasababu ya inferiority complex yao ndio inawafanya watumie mabavu. Kwetu sisi busara zinatosha
Sio sawa mkuu. Kuna watu walikufa kwa kulinda heshima ya imani yako. Kukataa mizaha ya kijinga ni tribute kwa hao mashujaa
Imani yetu hairuhusu fujo, chuki na mauaji. Yao inaruhusu. Huoni tutakuwa tunaenda nje ya misingi ya imani yetu?huo sio upole facebook...kufanyiwa jambo ambalo si jema na kukaa kimya bila kuhoji,kujali wala kukemea hiyo sio maana ya upole...we need to change and demand respect for our faith
Ukiona mtu kila siku analalamika ujue kaishiwa maarifa. Wanaolalamika kila siku ni akina nani? Wangekuwa na elimu ya kutisha wasingefanya wanayoyafanya.nani hana elimu? Waislam? Or? Naona unaanza kuongea pumba mkuu
nani hana elimu? Waislam? Or? Naona unaanza kuongea pumba mkuu
so u tel me why unadhan ni nadra sana kukuta watu wanafanya utan na dini ya kiislam
Hahaha...umenifurahi sana mkuuZe komedy wangekua wanatumia wimbo wa kaswida kuitroduce kipindi, TBC ingeisha lipuliwa siku nyiiingi.