joke joke joke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

joke joke joke

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ginner, Feb 22, 2012.

 1. G

  Ginner JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Kuna chizi mmoja alipanda daladala
  Karopoka ropoka akisema
  'babangu angelikua jogoo na
  mamangu angekua kuku ningezaliwa
  kifaranga'.
  ... .
  .
  kisha akaendelea kusema
  'mamangu angekua ng'ombe na
  babangu fahari ningezaliwa ndama.'
  .
  .
  conductor akanoki akamuuliza, 'je
  babako angekua mwizi na mamako
  malaya ungezaliwa nani?'
  .
  .
  chizi akafikiria
  kisha akajibu 'ningezaliwa conductor.
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hahahaha mchizi fresh huyo loh ndio akome kumuuliza kichaaa
   
 3. K

  KIDOSHO Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hhahaha nimeipenda wapi mzee wa Loading...
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  he's still loading
   
 5. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  server not found!
   
Loading...