JOKATE: 💚 Shukrani za Dhati 💚

JOKATE: 💚 Shukrani za Dhati 💚

💚 Shukrani za Dhati 💚

Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Ndg. Dkt @samia_suluhu_hassan , Mwenyikiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa Imani yako kubwa kwangu hasa kwa kunipendekeza na kisha kuteuliwa na Halmashauri kuu ya CCM Taifa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM mpaka hapo jana. Nakuahidi nitaendelea kuilinda imani hiyo kwa wivu mkubwa sana. Umeweka alama kubwa kwenye maisha na historia yangu ya uongozi kwa kunipa nafasi ya kutumikia jumuiya mbili kubwa za CCM; UWT na hii ya Vijana 💚

Pili, Nawashukuru Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar Ndg.Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti Bara Ndg. Stephan Masato Wasira-Bara kwa miongozo yenu mizuri kwangu na kwa UVCCM kwa ujumla.

Tatu, Nakushukuru Ndg. Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi Katibu Mkuu Wa CCM Mstaafu na Mgombea Mwenza kwa malezi na maelekezo yako ya kiuongozi na kiutendaji kwa kweli mengi nimejifunza chini ya usimamizi wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa.

Nne, Nishukuru Wajumbe Wote wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa, Kamati Maalum na Jumuiya zote za CCM kwa ushirikiano mkubwa mlionipa katika utekelezaji wa majukumu yangu nikiwa katibu mkuu wa UVCCM.

Tano, Kwa umaalumu wake Naushukuru Umoja wa Vijana wa CCM kwa ngazi zote. Kipekee Baraza kuu la UVCCM Taifa, Kamati ya Utekelezaji, Sekretariat ya Baraza Kuu La Uvccm Taifa chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wetu Bingwa CDE @comrade_kawaida kwa upendo na ushirikiano mkubwa mlionipa katika utekelezaji wa majukumu yangu nikiwa Katibu Mkuu wa UVCCM. Bila nyinyi nisingeweza kuyatekeleza Nawashukuru sana sana sana. Nawapenda mnooooo 💚💚
💚💚💚

Sita, nitumie fursa hii kumpongeza na kumtakia kila la kheri Katibu Mkuu mpya wa UVCCM Ndugu yangu @mwinyi_halid kwa imani hii. Wishing you nothing but the very best. Uwezo wako ni mkubwa, Mwenyezi Mungu akutangulie. Amiiiin 🙏🏽

MWISHO; Nawashukuru VIJANA WOTE nchini kwa ushirikiano wenu kwangu katika kipindi chote cha utekelezaji wa majukumu yangu.

JUM💚
Ameshindwa kuanza kumshukuru Mungu ameanza na Mama. Hajamshukuru Mungu kabisa aliempa afya ya kuongoza
 
Cheo chake amechukua nani?
537531252_18503419879064781_4340685455186980216_n.jpg
 
Uchawa tu unakusumbua

Mtu mtekaji, mfiraji na mlawiti ndiye unamsifia hivi!
 
Ila kujipendekeza ni kipaji kinacho hitaji kwanza mtu mzima uwe kama hauna akili...teh😜
 
Back
Top Bottom