Una uhakika hana ndoa huyo ? Watu wenye akili wana ndoa za kimya kimya.Hivi RC si wana miiko fulani kwamba mtu asiye na ndoa hatakiwi kushika nafasi za uongozi katika kanisa?
Kuna uzi humu ulitrend sana kuwa hana ndoa na hata akasababisha watu kuondolewa madarakaniUna uhakika hana ndoa huyo ? Watu wenye akili wana ndoa za kimya kimya.
well done Jocket, well done watu wa mbinga 👊💪Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ameteuliwa na Askofu John Chrysostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki la Mbinga kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu upatikanaji wa fedha na vifaa kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Likonde Seminari ambapo KM Jokate June 25,2025 amefika Mbinga na kumuhakikishia Askofu Ndimbo kwamba amekubali uteuzi huo na atahakikisha anaratibu ili kukusanya Tsh. bilioni 1.5 ambayo inahitajika ili kuzikabili changamoto zinazoikabili Seminari hiyo.
KM Jokate amesema “Tumekuja hapa baada ya kupokea barua ya kutuomba tushirikiane na Jimbo la Mbinga kupitia Baba Askofu Ndimbo kwamba kuna Likonde Seminari ambayo inatimiza miaka 65 mwaka huu na sisi ni Wadau wa Wilaya hii ya Mbinga basi tushirikiane kuona jinsi gani tutafanya ukarabati, binafsi naiona Seminari hii kama nembo ya Mbinga, tumekuja kuona mazingra baada ya kupokea barua ili kuboresha pawe rafiki kwa Vijana wanaokuja kupata elimu, nakupongeza Baba Askofu na tunakutia moyo mungu aendelee kukutumia kwa ajili ya Wana Mbinga
Seminari ya Likonde kwa zaidi ya miaka 60 imekuwa ikihudumia Jamii kubwa ya Kitanzania hasa kwa wenye kipato cha chini lakini kwa sasa Shule hiyo inakabiliwa na changamoto ya uchakavu mkubwa wa miundombinu yake ikiwemo madarasa, ofisi, mabweni, maabara, maktaba, mifumo ya maji na vyoo hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mazingira ya ujifunzaji ambapo akiongea leo Askofu Ndimbo amemshukuru KM Jokate kwa kukubali kuongoza uhamasishaji huo ili kuwasaidia Wanafunzi wengi zaidi.
Wadau wengine wa Mbinga wakiwemo Viongozi ambao wameteuliwa kuratibu ukarabati huo ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda ambaye ni Katibu wa Kamati ya ukarabati pamoja na Wajumbe wa Kamati akiwemo Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito, Mbunge wa Mbinga Vijijini, Beneya Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, Judge Dunstan Ndunguru , Faustine Njelekera na aliyekuwa DC Tarime, Glorious Luoga.
View attachment 3384439
Chanzo:HabariMpya
Kanisa limeshindwa kushikilia bomba, katazo halina hata wikiKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ameteuliwa na Askofu John Chrysostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki la Mbinga kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu upatikanaji wa fedha na vifaa kwa ajili ya ukarabati wa Shule ya Likonde Seminari ambapo KM Jokate June 25,2025 amefika Mbinga na kumuhakikishia Askofu Ndimbo kwamba amekubali uteuzi huo na atahakikisha anaratibu ili kukusanya Tsh. bilioni 1.5 ambayo inahitajika ili kuzikabili changamoto zinazoikabili Seminari hiyo.
KM Jokate amesema “Tumekuja hapa baada ya kupokea barua ya kutuomba tushirikiane na Jimbo la Mbinga kupitia Baba Askofu Ndimbo kwamba kuna Likonde Seminari ambayo inatimiza miaka 65 mwaka huu na sisi ni Wadau wa Wilaya hii ya Mbinga basi tushirikiane kuona jinsi gani tutafanya ukarabati, binafsi naiona Seminari hii kama nembo ya Mbinga, tumekuja kuona mazingra baada ya kupokea barua ili kuboresha pawe rafiki kwa Vijana wanaokuja kupata elimu, nakupongeza Baba Askofu na tunakutia moyo mungu aendelee kukutumia kwa ajili ya Wana Mbinga
Seminari ya Likonde kwa zaidi ya miaka 60 imekuwa ikihudumia Jamii kubwa ya Kitanzania hasa kwa wenye kipato cha chini lakini kwa sasa Shule hiyo inakabiliwa na changamoto ya uchakavu mkubwa wa miundombinu yake ikiwemo madarasa, ofisi, mabweni, maabara, maktaba, mifumo ya maji na vyoo hivyo kuathiri kwa kiasi kikubwa mazingira ya ujifunzaji ambapo akiongea leo Askofu Ndimbo amemshukuru KM Jokate kwa kukubali kuongoza uhamasishaji huo ili kuwasaidia Wanafunzi wengi zaidi.
Wadau wengine wa Mbinga wakiwemo Viongozi ambao wameteuliwa kuratibu ukarabati huo ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda ambaye ni Katibu wa Kamati ya ukarabati pamoja na Wajumbe wa Kamati akiwemo Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito, Mbunge wa Mbinga Vijijini, Beneya Kapinga, Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, Judge Dunstan Ndunguru , Faustine Njelekera na aliyekuwa DC Tarime, Glorious Luoga.
View attachment 3384439
Chanzo:HabariMpya
Anzisha Kanisa lako lisilo la hovyo. Wewe makanisa ya hovyo yanakuhusu nini ?Haya makanisa ni hovyo sn
weka namba ya kutumaHakika ntaifanya kwa usahihi, tumeni hiyo michango sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwafrika atabaki kuwa mwafrika tu. Yaani huyu askofu ameshindwa kabisa kutafuta fedha mpaka akatumia hawa vibwengo? Halfu mansema eti viongozi wa dini wakemee uovu kwenye jamii?Haya mambo ndiyo yatafanya wanasiasa waendelee kuongea kwenye misa za RC!
Kanisa ni mali ya watu akiwemo yeye (kama ni muumini wa RC). Akili zenu za kinyumbu nyumbu huwa zinadhani kuwa ukiwa kiongozi basi una uwezo kufanya chochote.Anzisha Kanisa lako lisilo la hovyo. Wewe makanisa ya hovyo yanakuhusu nini ?
Hizo sheria zipo kwa masikini tuHivi RC si wana miiko fulani kwamba mtu asiye na ndoa hatakiwi kushika nafasi za uongozi katika kanisa? Najaribu kurejea tu baadhi ya kauli za viongozi wa ibada
Kanisa sio mali ya mtu yeyote bali ni nyumba au hekalu la kumuabudia Mungu. Upo ?Kanisa ni mali ya watu akiwemo yeye (kama ni muumini wa RC). Akili zenu za kinyumbu nyumbu huwa zinadhani kuwa ukiwa kiongozi basi una uwezo kufanya chochote.
Nataka mwaka huu ufanye Jf party upate kibali Cha melo 😂😂Hakika ntaifanya kwa usahihi, tumeni hiyo michango sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]