MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,363
Mrembo Jokate akifanya mazungumzo na channel moja maarufu huko youtube amedai mwezi ujao atasafiri kwenda Seoul ,South Korea kufanya marekibisho kidogo ya sura yake yaani kuongeza kidoti B.
Jokate alidai sura yake ni kama mizani yaani kila kitu kilicho upande wa kushoto lazima kiwe na mwenzake upande wa kulia,so does kidoti,Jokate amesema kidoti hicho kitakuwa upande wa kulia ambapo amesema kitakuwa na radius ya nusu inchi (na diameter ya 1 in) wakati huo huo kidoti hicho kitakuwa na surface area ya 0.785 sq in wakati circumference itabaki kuwa 3.14 in.
Jokate alidai asilimia 50 ya gharama hizo atatumia fedha za ndani (zake) wakati asilimia 50 atatumia fedha za wafadhili (kiba).Jokate anategemea kundoka nchini trh 10 na kurudi trh 18.
Kila la kheri dada Jokate