MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,693
- 21,767
Una mawe we jamaaaaaaZakayo alikuwa Mtu mfupi sana lakini alitamani kumuoa masihi akapanda juu ya mti
Hii habari ya Zakayo inafundisha ili uweze kuonekana iwe kazini au kwenye siasa au mtaani lazima ujionyeshe au ujikweze
Hii principal, Mimi binafsi natumia sana nikiwa na maslahi binafsi
Jokate acha nae afanye hivyo, Bila kuonekana nani atakuona, Ikiwezekana apande juu ya mti Kama Zakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unajifagilia.View attachment 985182View attachment 985183View attachment 985184
Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.
Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.
DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
Inaelekea wewe ni Press secretary wake mzuri ,hatutaki viongozi attension seekerView attachment 985182View attachment 985183View attachment 985184
Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.
Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.
DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
Kwa awamu hii hata kama ungekuwa ni wewe mkuu ukiwa DC/RC n.k (all political posts) lazma CHENGA NYINGI SANA HALAFU HUFUNGI MAGOLI ili mshangiliaji akuone. Yaan dakka 90 zinaisha umeshapiga pass off 76 Faulo 48, shuti 2 magoli 0.View attachment 985182View attachment 985183View attachment 985184
Jokate Mwegelo amekataa katakata kushinda ofisini na kusaini karatasi zinazokuja badala yake ameamua kushinda field na kuwa kivutio kikubwa kwa jamii ya wenyeji wa kisarawe,wazaramo.
Wananchi wengi wa Kisarawe wamewaimiza mabinti zao wawe warembo, wachapakzi na maDC kwa pamoja maana yote yanawezekana.
DC Jokate ambaye pia ana shamba lake ekari mbili ambalo analima mwenyewe mihogo amekuwa akitumia muda mwingi kukagua na kushiriki miradi ya maendeleo na muda wake wa ziada akitumia kuhudumia shamba lake ambapo amedai katikati ya mwaka huu atakuwa anakula jasho lake mwenyewe.
Endelea kukaa nyuma ya keyboard wenzako wakifanya kazi,maisha Ni vitendo sio porojo ndugu,msipumbaze wananchi kwa propaganda uchwara badala ya kuwaeleza wafanye kazi,show off
usipanic relax, mm nimeandika tu maneno mawili we risala yote hii ya nn? Unapoteza nguvu na muda bureE
Endelea kukaa nyuma ya keyboard wenzako wakifanya kazi,maisha Ni vitendo sio porojo ndugu,msipumbaze wananchi kwa propaganda uchwara badala ya kuwaeleza wafanye kazi,
Ati unasema kuanzia katikati ya mwaka ndo ataanza kula jasho lake! You can't be serious, kumbe alikuwa anakula la nani?
Jokate the shining star, hongera sana, atafika mbali, atawaacha mbali sana kina Ester Matiko
TehView attachment VID_20151020_145540_468.mp4Kwa awamu hii hata kama ungekuwa ni wewe mkuu ukiwa DC/RC n.k (all political posts) lazma CHENGA NYINGI SANA HALAFU HUFUNGI MAGOLI ili mshangiliaji akuone. Yaan dakka 90 zinaisha umeshapiga pass off 76 Faulo 48, shuti 2 magoli 0.
Sent using Jamii Forums mobile app