Namfagilia Jonson Mbwambo,kwani ni mwandishi mahiri na mwenye maono,moja ya sababu zinazonifanye nisikose gazeti la Raia mwema ni uandishi wake,hapo nyuma kabisa ni Mbwambo huyu huyu alitahanabaisha juu ya anguko la uchumi na kushauri watawala (si viongozi)wachukue hatue madhubuti za kuweza kuepuka hilo janga,cha ajabu watawala na waziri wa fedha wakawa mbele kusema hilo anguko sisi halitatudhuru kwa sababu hatujawekeza katika hizo nchi za wakubwa zilizo kumbwa na anguko,hao ndio watwala wetu hawana vision,kwani hata kwa mimi wa std seven niliona huko mbele kuna gharika,baada ya muda yale aliyoyatolea tahadhali Mbwambo sasa ndio akapera ya viongozi,swali walikuwa wapi siku zote?watu mkubali au msikubali Mbwambo ni mwandishi aliyembele kwa kuandika makala zenye manufaa kwa wananchi wa nchi hii,yuko tofauti na waandishi ambao kila kukicha ni kuandika ya akina R an M