Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,447
- 34,001
hata mimi nilitaka kuuliza hili swaliMohamed Said mbona John Magufuli hujamuandikia Tazia?
😆😆😆Hamtaki unafikiMohamed ni muislam attached to Middle Eastern islamic traditions,ila let not deny this,Mohamed upo fascninated na utamaduni wa America na especially wa mabishoo Black Americans
Mohamed wewe ni bishoo na una leanings kali sana za niggas maana kuna kipindi ulileta uzi wa wanamuziki wa zamani wa America you guys are always in love with.
Kwa kifupi it happened ulizaliwa kwenye uislam of which umekulia na unaupenda kama jukumu,ila mzee mwenzangu American softpower imekukaa kama sisi wengine!
Hahahaha
Kwa nini unataka mpangia watu wa kuwaandikia Tanzia? Ukimwandikia wewe inatoshaMohamed Said mbona John Magufuli hujamuandikia Tazia?
Wyatt,Mohamed ni muislam attached to Middle Eastern islamic traditions,ila let not deny this,Mohamed upo fascninated na utamaduni wa America na especially wa mabishoo Black Americans
Mohamed wewe ni bishoo na una leanings kali sana za niggas maana kuna kipindi ulileta uzi wa wanamuziki wa zamani wa America you guys are always in love with.
Kwa kifupi it happened ulizaliwa kwenye uislam of which umekulia na unaupenda kama jukumu,ila mzee mwenzangu American softpower imekukaa kama sisi wengine!
Hahahaha
Kiranga,Mohamed Said mbona John Magufuli hujamuandikia Tazia?
Torque,Nilitaka kushangaa bila mambo ya kibandiko story itakamilikaje hii?
Sarcasm is obviously not your strong suit.Kwa nini unataka mpangia watu wa kuwaandikia Tanzia? Ukimwandikia wewe inatosha
Magufuli wakuja hajulikani na watoto wa mjini.hata mimi nilitaka kuuliza hili swali
Bwana Muhammad ni nini kimejificha nyuma ya malingo yako juu ya utoto wa daslama? Au ni sawa na jahliya ile ya maanswar dhidi ya muhajirina' kipi kitakufaa juu ya utoto wako wa daslama kwa Mola wako? Allah Ampe kauli Thabit ndugu yetu mtembeziJOHN INNISS MSWAHILI WA NEW YORK
Nimemfahamu John Inniss miaka ya 1980 mwishoni kwa kutambulishwa na Bi. Riziki Shahari miaka hiyo yeye mwanafunzi Columbia University, NEW York ambako ndiko "Waswahili," hawa wawili walijuana.
John Innis ambae nikipenda kumwita kwa jina lake la utani "Mtembezi," alikuwa anakisema Kiswahili kiasi ukitoa ile "accent" ya Kimarekani utadhani kazaliwa Kariakoo.
Basi alipokuja Dar es Salaam tukakutana.
Mtu mstaarabu na muungwana sana.
Juu ya ulemavu wake alikuwa anajimudu vizuri akitembea bila ya msaada wa mtu.
Mungu akajaalia kuwa wenyeji wake Dar es Salaam mimi ni ndugu zangu pale Mission Quarter alipofikia.
Katika kufahamiana huku tulizungumza mengi na hivyo ndivyo alivyonihadithia maisha yake kwa yale yaliyomfika Vietnam akiwa askari Marine Corps na akapoteza mkono na mguu katika umri mdogo sana wa ujana.
Naamini nilikuwa nikimstaajabisha vile nikiwafahamu rafiki zake kutoka Dar es Salaam aliojuananao Marekani katika 1960s.
Aliniuliza kama namfahamu Abdul Nanji.
Nikamtajia hadi mtaa aliozaliwa na historia yake kama mwanachama wa Chipukizi Club na akina Badrin na Hussein Shebe.
Badrin alihamia Marekani miaka hiyo ya 1960 miaka ambayo Vita Vya Vietnam vilikuwa vimepamba moto.
Mazungumzo yetu yalikuwa yakistawi kwa kweli na mini nikistarehe sana kumsikiliza anavyokimwaga Kiswahili tena cha ndani kabisa.
Alikuwa haishi kunishangaza.
Innis ananambia, "Mohamed jana nilikwenda kwa Mita."
Huyu Mita ni katika vijana wa Kidaresalaam na alikuwa JWTZ.
John Innis Mtembezi anaendelea, "Zamani kila nikikutana na Mita hapa Dar es Salaam mazungumzo yetu makubwa ni mambo ya jeshi na silaha mpya.
Safari hii nikashangaa Mita kanishikilia na mambo ya biashara na miradi yake."
Nikamwambia, "Mita wewe utaweza kucheza ngoma na mzigo kichwani?"
Kashangaa vipi Mita atakuwa mwanajeshi na hapo hapo mfanya biashara.
Tabu kuamini semi kama hii ya "ngoma na mzigo kichwani," inatoka kwenye kinywa cha Mmarekani aliyejifunza Kiswahili kama lugha ya pili.
Mtembezi akifahamiana na Prof. Sengo ambae kama yeye ni bingwa wa Kiswahili.
Basi akaniuliza hali yake nk. nk.
Innis akanishangaza kupita kiasi.
Katika kumsifia Dr. Sengo kuhusu ujuzi wake wa lugha akaniambia, "Mimi Dr. Senior ni nyakanga wangu."
Hapa alinimaliza.
Hakuna kijana wa kiume Mswahili asiyelijua zimwi hili.
Nyakanga heshima yake kwenye kumbi ni kubwa mno kwa wali wake.
Nyakanga ndiye mwalimu wao wa kuwafunza yale ambayo baba wala mjomba hawezi.
Huyu ndugu yetu alikipenda Kiswahili na akajua hadi mila zetu.
Da Ummie pole sana na nakuomba tuwekee yale mahojiano yako na John Inniss.
View attachment 1733889
Nilisikia akimnanga DW japo alitia na nifaq kwa uchache Kuna mahali akijifanya kumsifia, huenda ukastaajabu aliandika juu ya kitwana kondo kibaraka wa wakoloni lakini ameshindwa kwa magufuliMohamed Said mbona John Magufuli hujamuandikia Tazia?
Ni haki yake ya kikatiba kumsifia anayemtaka na kumsema vibaya anayemtaka, si lazima amsifu unayempenda wewe.Nilisikia akimnanga DW japo alitia na nifaq kwa uchache Kuna mahali akijifanya kumsifia, huenda ukastaajabu aliandika juu ya kitwana kondo kibaraka wa wakoloni lakini ameshindwa kwa magufuli
Kiranga,Magufuli wakuja hajulikani na watoto wa mjini.
Makala...Bwa
Bwana Muhammad ni nini kimejificha nyuma ya malingo yako juu ya utoto wa daslama? Au ni sawa na jahliya ile ya maanswar dhidi ya muhajirina' kipi kitakufaa juu ya utoto wako wa daslama kwa Mola wako? Allah Ampe kauli Thabit ndugu yetu mtembezi