John Terry Vs Nemanja Vidic, nani alikuwa zaidi?

Embu soma tena nlichoandika mm then compare na comment yko ndio utajua nani amedakia! (Though uandishi wako unaonesha kingereza kwako tatizo, ungeomba utafsiriwe kwanza).....Alafu sio conversion ni conservation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Conservation😁😁😁😁 halafu wewe ndo unajua kingereza,utakuwa kwenu wakwanza kusoma wewe
 
Unamfanishaje Le Captain wa muda wote na takataka kama Vidic? Uwepo wa Rio Ferdinand na Garry Nevile pamoja na Van Desaa ulimbeba sana Uyo Vidic ..

John Terry atabaki kuwa beki bora kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia..

CB moja ya kutisha..

Viva JT..

Kila la kheri Chelsea
 
Hawa wote walikuwa ni mabeki wa kati. Pia wote walikuwa ni makepteni katika timu zao.
Wakati John Terry alikipiga Chelsea, Nemanja Vidic alikipiga Man Utd katika EPL.

Kwasasa wote wameshastaafu, ukiwa kama mshabiki wa mpira, ni beki gani kati ya hao wawili ambaye ulimkubali zaidi kwa uchezaji wake akiwa uwanjani.

Karibuni kwa mjadala...
Rio na Vidic nan alikuwa captain?
 
Juma Nyoso
 
ni mlevi wa ulanzi pekee ndo anaweza mfananisha kaptein JT 26 na vidic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom