John Terry Vs Nemanja Vidic, nani alikuwa zaidi?

Nemanja Vidic yule kiumbe alikuwa hatari kwangu alikuwa namba 4 iliyokamilika..Kwanza anakaba,ana uwezo wa kuanzisha mashambulizi ya kushtukiza kutokea nyuma,Alikuwa na uwezo wa Kufunga,na kuna muda aliweza kucheza nafasi ya kiungo mkabaji..Yule bwana alikuwa ana marking ya hatari na beki asiyekata tamaa...
Terry nae alikuwa na sifa nyingi ila kwenye kuipandisha timu na mambo kadhaa alizidiwa na Mnyama Nemanja Vidic

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom