Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
There is a John Stephen Akhwari Athletic Foundation, an organization which supports Tanzanian athletes training for the Olympic Games. You can have this as a starting point for your search!
Cheers!
Watu wa hivi hawapo tena Tanganyika!
Mkuu nitatofautiana na wewe kwa hili,nina imani kuwa wtu wa hivi bado wapo wengi sana ila utaratibu wa kuwapata watu wa hivi ndio haupo...
Kutokupatikana kwao ndiko kunakonifanya niseme hawapo! Kwani enzi za mwalimu ilikuwaje wakawa wanapatikana?
Enzi za mwalimu kulikuwa na utaratibu mzuri wa kuwapata wanamichezo kwa kuwa na mashindano ya ngazi za chini mpaka kufikia Taifa,labda nikuulize ulishawasikia(TOC) wakitangaza mashindano ya kutafuta washiriki wa michezo ya Olympic..?Lakini ukweli ni kuwa tunao watu wengi sana wanaoweza kutuwakilisha,tatizo ni kuwa hatuna mfumo wa kuendeleza vipaji..
Kwa hiyo mkuu itabidi tu ukubaliane na mimi kuwa hao watu hawapo