mh mbowe akiwa mwanza wananchi walimtaka aseme jambo juu ya shibuda, lkn mh mbowe aliishia tu kusema shibuda ni mtu mchache n mwepesi sana siwezi kumuongelea, kweli shibuda kaonesha uchache na wepesi wake kajitoa mwenyewe kabla ya ghalika kumkuta, hongera sana mbowe Mh, Mungu kakupa uwezo wa kuona mbali unastahili kuiongoza cdm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.