John Shibuda: Mbowe ni dikteta

KIoNGOZI YEYOTE LAZIMA UWE NA VIELEMENT VYA KIDIKTETA OTHERWISE UTAKUWA UNACHEKA TUU KAMA JEYKEI.LAZIMA UDIKTETA KAMA BEN MKAPA.KAZA BUTI MBOWE

Then tuache kulialia kwa kisingizio cha demokrasia.............Hivi Dikteta Kikwete mtamvumilia hata pale atakapokandamiza maslahi yenu yenye kutishia maslahi ya Taifa???

By the way, I thought vyama vya upinzani Tanzania vilianzishwa kuleta Demokrasia....ama hiyo ilikuwa ni kauli mbiu tu isyokuwa na chembe ya imani ya kweli????
 

-----------
Mawazo yangu, kwa hatua changa ya chama ni muhimu Mbowe kuwa dikteta kwa level fulani kwa sababu CDM ina wapinzani wenye nguvu sana na isipofanya baadhi ya maamuzi kidikteta basi itakufa. Hii ni hatua muhimu sana katika ukuaji wa chama hasa kwa mazingira haya ya kimaskini na intelligensia kutumika kuhujumu chama, hata katika hatua za awali za kukua kwa ccm na maendeleo ya nchi ilikukuwa ni muhimu kwa Nyerere kutumia udikteta vinginevyo tusingeweza kupiga hatua. Katika hatua hizi za mwanzo, ni muhimu sana viongozi watumia udikteta kiasi, bila hivyo kuna hatari wajinga baadhi ndani ya chama kutumika na wapinzani wa CDM.

Mie naunga mkono utendaji wa Mbowe, keep it up!
 

tunakujua ww ni msemaji wa zitto na ni anti-cdm
 
Shibuda hakukosea Jamaa ni dikteta kweli ,ona sasa amebuni wazo la kushikisha UKUTA wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…