John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hivi kuna mwanacdm ambaye bado anamuhitaji chamani? Bora kajipima na kujiona hatoshi
 
Ni kweli hana faida kwa chama lakini kitendo cha kijiondoa mwenyewe ni nzuri kwake kuliko angesubiri afukuzwe.
 
...eti amuvumilia wakati alikuwa analea tumbo, angeacha mapema ili kujua kweli anamaanisha...
 
Nadhani John Shibusa amepoteza uhalali wa kuwa mbunge maana ametangaza kuwa sio mwanachama wa Chadema. Sheria ilivyo ni kuwa ukipoteza uanachama na ubunge unapotea, sasa kama ni hivyo mbona yupo Bungeni? Au kwa vile ni bunge la katiba, lakini anaingia mle kutokea na ubunge wake uliodhaminiwa na chama chake. Wajuzi wa sheria mtujuvye
 
Acha waje. Lakini anatakiwa kurudisha kadi na mali zote za chama, ili jimbo libaki bila mbunge, uitishwe uchaguzi mdogo. Yeye kwenda bungeni ataenda kama mjumbe wa tume ya Mh. Sita ya kukusanya maoni ya wakulima na wafugaji. Kwa kuwa tume ya ukusanyaji maoni ya ccm haitavunjwa kwa mujibu wa utashi wa ccm, wataendelea hao hao kuwa wajumbe wa BMK, basi shibuda ataendelea kwa mujibu huo!!!!.
 
Sounds nice anyway. Kweli Bunge la Sita na wafugaji/wakulima.
 
inategemea katiba ya chama inasemaje, kwa kutegemea matamshi tu haitosh, aandike barua ya kukana/jitoa uwanachama wake..............shibuda amekua gugu linalomea na ngano hivyo anaachwa hadi wakati wa mavuno (tafakuri yangu)
 
hajasema sio mwanachama,amesema uchaguzi ujao hatagombea kwa tiketi ya cdm...ofcourse anaenda act/ccm.
 
Shibuda ni mwanaume kweli,anaongea ukweli mtupu ndo maana chadema wanamuogopa na kamwe hawawezi kumfukuza.
 
Shibuda anasikitila maana 50k alizokuwa anachukua kwa zzk zomekata. Karai la zege hilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom