Ana bonge la saa sijui kainunua sh ngapi
Rais wangu makini, sambaza dawa za BAYCARO na NIMRICAF Tanzania nzima kwa bei nafuu kila mtanzania apate tupunguze wagonjwa mahospitalini, maambukizi na vifo vya shida ya upumuaji. Wananchi wanakwisha kiongozi. Jambo hili ukilifanya Mungu atakuheshimu zaidi.
Sema mkuu wa nchi hata kabla hajaongea anatetemesha, sijui wale jamaa wanaokutana nae kwenye 18 zake katika ziara anazozifanya maswali ya papo kwa papo kutolea ufafanuzi na kuna sauti za wananchi ametutesa sana huyu baba yani na imagine tu naona huwa wanatamani hata kujichimbia kaburi wafeeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] just a joke
Tukutane centralItakuwa buku jelo pale Makumbusho[emoji23]