Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,532
- 1,122
Hakuna mtu asiyekuwa na mapungu kama mwanadamu..huyu jamaa katika mawaziri wanaofanya kazi zinaonekana huyu ni number one..tuache habari za CCM na CDM,Tanzania bila nguvu ile nchi aiendi hata kidogo..
hasa upande wa miundombinu sababu kila kona kumeoza hakufai. Natamani kuona barabara za bongo ziko kama za Tokyo
Mpeni Hongera zake pale anapostaili na ushauri pale anapokosea.
Hii TABIA ya kudharau WATU na kuwaita "sisimizi" ni mbaya. Hivi uliyaona yaliyomkuta Gadafi kwa sababu ya dharau za namna hii? Aliingizwa mti kwenye njia ya kutolea haja kubwa. Kuwamwangalifu.Magufuli the Great songa mbele usivisikilize hivi visisimizi! Vimekereka kwa sababu umeviponda endelea kuvipa live, vinataka kusifiwa tu bila kukosolewa. Usirudi nyuma tupo wengi sana tunaokuunga mkono. Vibaraka wa chache tena with no adress ndo vinaleta maneno ya maliwatoni. Wachambishe hao wataisoma namba.
Huyu jamaa watu wameshamchoka hata yeye analijua hilo ndo maana analopoka ovyo.Kwanza alishawahi kumuuzia nyumba ya serikali mdogo wake aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu kwa wakati huo.Huyo ni fisadi wa first class mwacheni alopoke maana hasomi alama za nyakati.Mawazo yake bado yako kwenye miaka ya 1990.
Maghufuli ni mtu asiyefaa kabisa uongozi. Ni mbinafsi wa kutupa na ana upendeleo wa waziwazi kwa ndugu na jamaa zake kama alivyodhihirisha wakati wa uuzaji haramu wa nyumba za serikali alipojiuzia makumi ya nyumba na kuwauzia ndugu jamaa na vimada wake nyumba hizo kwa bei ya kutupa! Hana tolerance (Uvumilivu) kwa wenye mawazo tofauti naye kama nilivyodhihirisha mimi mwenyewe katika moja ya hotuba zake jimboni kwake aliyoitoa hadharani akiahidi waziwazi kulipiza kisasi kwa wananchi wanaoishi kwenye maeneo yaliyochagua wenyeviti na madiwani wa upinzani (CHADEMA). Mimi si mkazi wa Chatto lakini nina maslahi yangu kule na nilimshangaa na kuwashangaa wananchi kwa kutomchukulia hatua kwa uhalifu ule. Katika mkutano ule wa hadhara baada ya uchaguzi wa 2010 aliahidi kuweka X nyumba hata zilizo mbali na barabara na aliahidi kutokamilisha mradi wa umeme uliokuwa umeshaanza kata ya Mganza! Naamini baadhi ya wakazi walioshuhudia mkutano wa kishenzi ule ni wanajamvi na watathibitisha hilo. Je huyu akipewa urais si anaweza kuamuru mkoa mzima uteketezwe kwa sababu tu haukumpigia kura? La kushangaza ni kwamba nguvu za umma zimemsonga bila ya kuhofu vitisho vyake na ninapoandika hata kaya yake iko chini ya mwenyekiti wa CHADEMA. Peoples...............!!!!!!
Acheni ushabiki wa kijinga huo,mtu akiponda chadema tu mnamchukia na kumuundia zengwe....mbona ninyi huwa mnaponda magamba lakini hakuna mtu anayewaona kama ni hopeless
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.
Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.
Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.
Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.
Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.
Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell
Waziri ni mwanasiasa na huchaguliwa kupitia jimbo lake kisiasa zaidi kabla hata hajajuwa kuwa atapewa uwaziri. Ni haki yake kubwabwaja, hicho ndicho kikubwa kwa wanasiasa wote. Kuna mwana siasa asiye bwabwaja?
thas y the guy is overly obsessed with cdm. Kumbe kila pande wamemzunguka? Ni bahati tu kuwa alikuwa waziri kipindi hicho na kwa mgongo wa uwaziri wakachakachua matokeo
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.
Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia ------ kupitiliza, hadi unampa kero.
Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.
Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.
Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.
Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell
thas y the guy is overly obsessed with cdm. Kumbe kila pande wamemzunguka? Ni bahati tu kuwa alikuwa waziri kipindi hicho na kwa mgongo wa uwaziri wakachakachua matokeo
ni kweli anachapa kazi lakini naye amezidi kuropoka na kupenda misifa.
Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.
Huyu Pombe simfagilii hata kidogo,
1. anapenda sifa za kijinga.
2. anapenda kufanyia kazi majungu anayopelekewa.
3. ni roboti.
4. hashauriki.
5. ni fisadi
nawasilisha.:lol::lol::lol::lol: