Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
watajeni hao mnaotoa sifa zao kama mwenzenu mleta hoja sio mnazungukazunguka na kusema hafai
..nashangaa kwanini mpaka leo haburuzwi kupelekwa mahakamani kama Basil Mramba na Daniel Yona.
......kwanza, kuna hasara ya bilioni 15 iliyosababishwa na uamuzi wake wa kuvunja kituo cha mafuta kule Mwanza.....
..pili, kuna hasara ya mabilioni mengine iliyosababisha na uamuzi wake wa kuuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa.
..tatu, kuna suala la kutumia madaraka yake vibaya "kuwauzia" ndugu na vimada nyumba za serikali.
......nne, kuna suala la kulidanganya bunge kwamba uamuzi wa kuuza nyumba za serikali ilikuwa na faida na siyo hasara kama wale waliopinga uamuzi huo walivyokuwa wakidai........
.......tano, matumizi mabaya ya madaraka yake kuingilia mradi wa ujenzi wa barabara na kulazimisha barabara hiyo ipitie jimboni kwake.....
Urais kwa sasa huchaguliwa kwa kura za wengi na haupewi na mtu, Urais wa kupewa ulikuwa wa Nyerere, yeye ndiye aliepewa kwenye sahani bila kuchaguliwa. Upo hapo ulipo? ni nani alimchaguwa Nyerere kuwa Rais, na yeye akampasia kibaraka wake, MMwinyi na Mkapa. Kikwete kautolea jasho, na kama huyo Magufuli anauwezo na yeye autolee jasho.
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.
Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.
Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.
Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.
Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.
Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell
Mm nahisi kuna mkono wa kisiasa wa kuchafuana baada ya kusoma maoni ya watu
Hakuna mtu anayelikataa hili!lakini watu wanasikishwa na uropokaji wake,ambao unawatia shaka watanzania na hasa wale wanaopima mapaya na mazuri ya mtu kwa haki!Hakuna mtu asiyekuwa na mapungu kama mwanadamu..huyu jamaa katika mawaziri wanaofanya kazi zinaonekana huyu ni number one..tuache habari za CCM na CDM,Tanzania bila nguvu ile nchi aiendi hata kidogo..
hasa upande wa miundombinu sababu kila kona kumeoza hakufai. Natamani kuona barabara za bongo ziko kama za Tokyo
Mpeni Hongera zake pale anapostaili na ushauri pale anapokosea.
Hakuna dhambi kubwa aliyoitenda ambayo wafanyakazi wa nchi hii hawatamsamehe kama ile ya kuuza nyumba za serikali kwa vigogo waliokuwepo madarakani enzi za utawala wa Mkapa. Hivi sasa watumishi wa uma wananyanyasika kuhusu mahali pakuishi huku wakiona nyumba za serikali alizoziuza Magufuli zikiwa zinapangishwa kwa bei ya kuruka huku waliozinunua wakiwa wamestaafu au kuhama katika miji husika. Kama kweli ana ndoto ya Uraisi arejeshe kwanza nyumba alizoziuza na atubu dhambi hiyo. PIA WITO KWA WANA JF WOTE NA WAPENDA HAKI ZA WAFANYAKAZI KOTE NCHINI ANZENI KAMPENI YA BILA KUKOMA YA NCHI NZIMA YA KUTAKA NYUMBA ZA SERIKALI AMBAZO AKINA MAGUFULI WALIZIUZA ZIREJESHWE HARAKA
Hakuna mtu asiyekuwa na mapungu kama mwanadamu..huyu jamaa katika mawaziri wanaofanya kazi zinaonekana huyu ni number one..tuache habari za CCM na CDM,Tanzania bila nguvu ile nchi aiendi hata kidogo..
hasa upande wa miundombinu sababu kila kona kumeoza hakufai. Natamani kuona barabara za bongo ziko kama za Tokyo
Mpeni Hongera zake pale anapostaili na ushauri pale anapokosea.
kwanza unatuchefua na nani?exclude watu hapo ni wewe mwenyewe unachefuka,pia wewe ndio una siasa chafu una lolote kwanza umetumwa wewe ni mtimanyongo wako na roho ya korosho nyoka wa mdimu ndimu uli akija mtu kuchuma unamng'ata. kwa magufuli kuweka siasa katika hotuba hakuna kosa kwani ndio hali halisi lazima akifagilie cham chake CCM JUU, hata angekuwa waziri wa nccr au cdm lazima angesifia chama chake usikatae nature ya siasa.kama kashafa hakuna ambae hana kashfa na hauwezi pendwa na kila mtu ila kashfa zinatofautiana kam wanawake ni suala binafsi hata .....anao na unajua tena zaidi ya kumi sembuse magufuli?Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.
Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.
Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.
Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.
Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.
Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell
kwanza unatuchefua na nani?exclude watu hapo ni wewe mwenyewe unachefuka,pia wewe ndio una siasa chafu una lolote kwanza umetumwa wewe ni mtimanyongo wako na roho ya korosho nyoka wa mdimu ndimu uli akija mtu kuchuma unamng'ata. kwa magufuli kuweka siasa katika hotuba hakuna kosa kwani ndio hali halisi lazima akifagilie cham chake CCM JUU, hata angekuwa waziri wa nccr au cdm lazima angesifia chama chake usikatae nature ya siasa.kama kashafa hakuna ambae hana kashfa na hauwezi pendwa na kila mtu ila kashfa zinatofautiana kam wanawake ni suala binafsi hata .....anao na unajua tena zaidi ya kumi sembuse magufuli?
Huyu ni Mrs. MS ( lekchara wa Morogoro Muslim University).kifupi sijatumwa na mtu. Na wewe umetumwa na nani? Au wewe ndiye yule kimada?