Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
mkuu Dr anamweleza Mkandarasi Yeah yeah nini,maneno mengi kuliko kazi hahahahaha
watu kama hawa bana hawawezi pewa nafasi kubwa kama Uraisi maana upo uwezekano wa kutomwekea Raisi mstahafu kinga ya kutoshitakiwa
Dr bana huwa hana mzaha ktk kazi,ingawaje anamapungufu yake,lakini kiukweli hatuwezi mfananisha na mawaziri wengine waliobaki
naweza mfananisha na SOKOINE
Na tume ya uchaguzi.Na nani?
APEWE!?
ZIMEKUWA PIPI?
Kama akiwa waziri aliuza nyumba za serikali,akiwa rais si atauza nchi mwanaharamu huyu?
mkataeeeeeeee!!!
mkuu Dr anamweleza Mkandarasi Yeah yeah nini,maneno mengi kuliko kazi hahahahaha
watu kama hawa bana hawawezi pewa nafasi kubwa kama Uraisi maana upo uwezekano wa kutomwekea Raisi mstahafu kinga ya kutoshitakiwa
Dr bana huwa hana mzaha ktk kazi,ingawaje anamapungufu yake,lakini kiukweli hatuwezi mfananisha na mawaziri wengine waliobaki
naweza mfananisha na SOKOINE
huyu wa sasa hivi mnbona anawakumbatia mafisadi na kucheka cheka na huyu ndio richmond baba lao lakini si mlimrudsha ikulu?APEWE!?
ZIMEKUWA PIPI?
Kama akiwa waziri aliuza nyumba za serikali,akiwa rais si atauza nchi mwanaharamu huyu?
mkataeeeeeeee!!!
Saint Ivuga... are you serious au unapima maji??
we need a visionary leader anayejua watanzania wanataka nini na sio wanachama wake wanataka nini
- vigezo vya uongozi si kubwabwaja, maana alitakiwa ajue hayo kabla hata ya kufika site/project
- umesema apewe, apewe na nani?
- unadhani tatizo letu kwa sasa ni nini?? ni strategist, leader au a wheen n' spanner guy?
Du!, kumbe ile ajali ambayo mpaka kesho, inaacha maswali mengi bila majibu, sasa naanza kupata majibu!. Sumbawanga Kiboko!,Sokoine angekuwepo sio kwamba tu angekemea ufisadi hadharani bali angelitekeleza kwa vitendo na watu kama, Rostam Aziz, Jairo na genge la mafisadi na wezi wote wa mali za umma wangekuwa hawako madarakani na wako mahakamani wana kesi za kujibu. Sokoine alimkatalia Nyerere waziwazi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Barongo na Sebabili wa Shinyanga lazima waende ndani na hakuna kuachiwa na alifanya hivyo wakatiwa ndani, na akiwa njiani kwenda Morogoro kujua Mzindakaya anafanya madudu gani pale ili na yeye amuweke ndani akapatwa na mauti pale Dakawa na hiyo ndiyo ilikuwa pona ya Mzindakaya, Mkuu wa mkoa wa Morogoro wakati ule
wewe hujui kuwa ccm wanapeana urais?
huyu wa sasa hivi mnbona anawakumbatia mafisadi na kucheka cheka na huyu ndio richmond baba lao lakini si mlimrudsha ikulu?
Sain Ivuga,
kwa nini umechagua kunihribia krismasi yangu ya kujiliwaza kihivo hivo nyumbani bila senti mfukoni? Kamwe usitusingizie eti tulimrudisha Mhe Kikwete Magogoni wakati unajua fika kwamba kura moja tu ya Jaji Lewis Makame ndio iliokua mfadhili wa huu utawala haramu.
Usinilaumu lolote kuendelea madarakani kwa kiongozi yeyote mpenda UFISADI na MAFISADI huko CCM!!!!!!!!!!