John Pombe Magufuli unatuchefua

halafu mwongo kweli huyu jamaa eti alitumiwa email na Kigoda akiwa ICU!!! is it?

Nawe mwongo vilevile utafikiri taarifa ya habari mmetizama pekee yenu kasema kabla hajaenda ICU ndo aliongea nae hebu rudia taarifa asubuhi usikie vizuri pengine chuki tu.
 
Waziri mwongo anakuambia kuwa kabla marehemu kigoda hajapelekwa ICU alimpigia cm na kumtumia email sasa jamani mtu akiwa hoi hajitambui huwa ana piga cm huu ni uwongo Wa mchana kweupe
 
Waziri mwongo anakuambia kuwa kabla marehemu kigoda hajapelekwa ICU alimpigia cm na kumtumia email sasa jamani mtu akiwa hoi hajitambui huwa ana piga cm huu ni uwongo Wa mchana kweupe

Sasa mkuu unashangaa nini? Ndivyo walivyo hawa binadamu, hukumbuki ya Membe? Balali kufanyiwa operation baada ya kufa?
 
Prophecy coming to reality.

4years way back now time for fulfilment.

Wapi chuo cha kusomea uwaziri na urais? Ulichoandika ni sawa kulingana na uelewa wako, tatizo kubwa linalowasumbua watz wengi hasa wanaojiita wasomi wa ss, kinsingi wachache wao uelewa ni mdogo sana.
 
Ukimuona kijana anashabiki ccm.akapimwe ubongo.maana ajui alitendalo.kigoda india wewe muhimbili.dawa utajua unazipata wapi tena yale maduka yana bei sana.maisha yanapanda na hikikimshahara ka vilaki kadhaa.
 

Kweli Muda ni mwalimu "asiye weza kulipa mia mbili apige mbizi" pantoni Kigamboni!
 

Eti naibu son of gamba!utumbo usio kifani halafu baadae ujifanye mtu mbele za watu Kumbe utomvu Wa mzoga umejaa kichwani.
 
Uzi huu lazimq uje matokeo zaidi ya haya yanayoendelea kushuhudiwa nchini.
 

jamaa mbona ulichoandika hakieleweki bwana ukiwa?
 
Hivi hamna mambo ya maana kuyadadili kil siki vitu trivial visivyo na mbele wala nyuma. Kama nyinyi ndo great thinkers basi nchi hii imeisha. Discuss issues muhimu siyo alinacha na akina abunuasi. Wanaowalipa wana ela za kuchezea.
 
Eti naibu son of gamba!utumbo usio kifani halafu baadae ujifanye mtu mbele za watu Kumbe utomvu Wa mzoga umejaa kichwani.

Utatoa sana mapovu mdomoni lakini ukweli utabakia palepale; Magufuli ndio rais wako mpya anayesubiria siku ya kuapishwa tarehe 29 October saa nne asubuhi uwanja wa Taifa jijini Dar. Jiandae kisaikolijia mapema ndugu. #HapaKaziTu
 
DuH! Hii mada ifikie ukingoni sasa. Ilikuwa ni mada ya miaka kadhaa nyuma huko. Na mambo yanabadilika pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…