John Pombe Magufuli ni pandikizi la CHADEMA?

Waziri John Pombe Maguli, tofauti kabisa na ilivo kawaida ya mawaziri wengine wa CCM, anaonekana ni mtu makini, anayezingatia utawala wa sheria, asiyechanganya siasa na kazi na mtu mwenye kujali maslahi ya umma kuliko maslahi ya mafisadi wachache

.
Inawezekana John Pombe Magufuli akawa ni pandikizi la chandema ndani ya ccm?
kumbe ndivyo mlivyokuwa mnajidanganya
 
Eeeeeeh

Yaani nimecheka tu.. maana Chadema ya Dr. Slaa ilishakufa tangu aondoke. Sasa hivi imebaki chadema bomu ya ulafi na kutendeana mabaya kisa uongozi na umaarufu.
 
Waziri John Pombe Maguli, tofauti kabisa na ilivo kawaida ya mawaziri wengine wa CCM, anaonekana ni mtu makini, anayezingatia utawala wa sheria, asiyechanganya siasa na kazi na mtu mwenye kujali maslahi ya umma kuliko maslahi ya mafisadi wachache

.
Inawezekana John Pombe Magufuli akawa ni pandikizi la chandema ndani ya ccm?
Vipi unaota au vyuma vimekaz?
 
Back
Top Bottom