John Pombe Magufuli ni pandikizi la CHADEMA?

nina amini kabisa kuwa mh pombe ni mmoja wa awatu makini waliopo ndani ya ccm.
la msingi ni walio ndani ya ccm kuwaondoa wote waliochafuka ili mfumo uwe kwa ajili ya kuleta maendeleo ya wananchi
Haya mambo ya umakini, uadilifu, ufisadi sio mambo ya IMANI. Angalia barabara nyingi alizosimamia je ziko vizuri? zinakaa kipindi kilichokusudiwa kabla ya kuanza kuharibika? Je manunuzi ya wizara anayoisimamia hayana mashaka? Vivuko, boti za kasi nakadhalika zina thamani halisi ya fedha iliyolipwa? Je anachukua maamuzi sahihi kwa wakati muafaka yasiyoingizia taifa hasara? (hapa unaweza tafakari samaki wa magufuli), Je anasimama kidete kupinga sera sizizo na maslahi mapana ya nchi kama kuuza nyumba za watumishi wa serikali kisha watumishi hao hao kukaa hotelini? Je hana papara katika kuamua, akizungukwa na watu wanaomshangilia anamudu huo umaarufu au atafanya vioja? Ukipata majibu ya maswali kama haya waweza sasa kusema huyu ni mtu makini ndani ya chama. SI SWALA LA KUWA NA IMANI JUU YA UMAKINI WAKE.
 
kula kwa lowasa. Hamtupigi chenga kirahisi hii tumeishtukia.
 
Kitendo cha ccm kuchakachua katiba ya wananchi tu kinatosha kuuthibitisha unyonyaji wao,imebaki kutunyonya damu tu,kura kwa lowasa,delete ccm!
 
Umesema mwenyewe kwamba Pombe anasimamia haki na CDM nao wanasimamia haki, so lazima interests zi coincide.Anaonekana kuwa tofauti na mainstream CCM kwa kuwa huko hakuna haki.Kama wote mnasimamia haki lazima mtafanana mawazo yenu.
 

Basi kesi imeisha maana kumbe Magufuli anakubalika kotekote yaani ccm na chadema. Haya sasa yameisha tusubiri kumwapisha tu
 
Mmeona muanze kumhusisha na chadema mkidhani ataonewa huruma? Hampati kitu yeye ni ccm full
 
Kingunge aliondoka na password za ccm mliobaki endeleeni kuhangaika na kukosa usingizi.
 

Kwa kuongezea tu, ccm ni ya wakulima na wafanyakazi, ndo maana makongoro Nyerere alisema, mafisadi mnakipeleka chama chetu wapi na cc mtatuacha wapi tukiwa tunafanya nn? mutuachie chama chetu, kimsingi ndo wanaondoka hivyo, naamini chama kimeanza kuwa safi kabisa.
 
Usijaribu kumfananisha mtu msafi kama Magufuli na chama kichafu, cha wapiga dili na mashetani kama Chadema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…