displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,091
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.

Yaani kwa akili zako unaamini kabisa hayo yaliyoandikwa The Citizen? Wao wenyewe hawana uhakika na wanachoandika, wanabakia kusema "...it is likely...". Na hata hivyo vyanzo vyao vya habari hawavitaji. Hakuna siku The Citizen wameandika makala ya mizani uwiano (balanced reporting) kuhusu serikali. Na bado unawaita wenzako wapumbavu. Kalagabaho.we mpumbavu kweli,bilion 15 ni kwa wanafunzi wangapi na hiyo 1.7b imeokotwa na nani,perfomance ya miezi minne ni 97% kadanganye kina nape
Guys...hii issue ya financial crisis ni uzushi mtupu. Juzi hapa zaidi ya billioni 15 na ushee imepelekwa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Na kana kwamba hiyo haitoshi, trillion 1.7 imekusanywa na TRA kwa mwezi wa huu wa kumi tu.
Kama Magufuli yuko serious aanze na yule ndugu yake Kinana msomali wa TRA na kuweka mtu mwenye uchungu na hii nchi.
TRA wamechoka wanakusanya kodi kizamani kwa kukadiria huku wanachukua rushwa. Mfano mdogo ni kodi za leseni za magari, usipojiwekea kalenda ya kukukumbusha unaweza kukaa mwaka mzima bila kulipa. Wana namba za simu, wana emails lakini wanashindwa hata kutuma reminder kwa wateja walipe kodi. Kama hawana shida na hela wakati watu wanakosa huduma hela haikusanywi kwa wakati
Kitufe cha like mkuu... mlipa kodi anakuwa kama ombaomba mbele ya macho ya hawa jamaa...Kama Magufuli yuko serious aanze na yule ndugu yake Kinana msomali wa TRA na kuweka mtu mwenye uchungu na hii nchi.
TRA wamechoka wanakusanya kodi kizamani kwa kukadiria huku wanachukua rushwa. Mfano mdogo ni kodi za leseni za magari, usipojiwekea kalenda ya kukukumbusha unaweza kukaa mwaka mzima bila kulipa. Wana namba za simu, wana emails lakini wanashindwa hata kutuma reminder kwa wateja walipe kodi. Kama hawana shida na hela wakati watu wanakosa huduma hela haikusanywi kwa wakati
Nashukuru kwa kumtoholea, haswaa nilimaanisha hivi kama hajaelewa tena basi 'chei, cheiiiiiiiiiii'Anamaanisha unanunua magari ya ----- na posho kede za warugaruga ili tia maji tia maji tushinde halafu kumbe kapu jeupe???
haya sasa vijana wa UVCCM njooni mporomoshe matusi yenu.
Hakuna cash crisis yeyote serikali inapesa ya kutosha ndio maana imeweza kuongeza idadi wa wanafunzi kupata mikopo na kulipia matengenezo ya machine za hospital ya billion tatu kilichopo ni mapiganio ya cheo cha ukurugenzi wa TRA nothing more ni mwendo tu wa kuchafuana ili mtu aonekane hafai.
Mwenye uchungu na nchi nani mbowe!?