John Ngumi ajiuzulu kutoka bodi ya Ndege ya Kenya (KQ) baada ya miaka minne

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,818
4,569

Picha: John Ngumi

Mshauri wa uwekezaji na mzoefu wa bodi John Ngumi amejiuzulu kutoka Bodi ya shirika la ndege la kitaifa Kenya Airways (KQ) baada ya kutumikia chombo hicho kwa miaka minne.

Aidha, Mwenyekiti wa Bodi ya KQ, Michael Joseph, ametoa taarifa maalumu ya kujiuzulu kwa John Ngumi, huku akishukuru kwa utendaji wa Ngumi katika miaka aliyokuwapo katika bodi hiyo lakini pia akiweka bayana kuwa nafasi hiyo atapewa mtu mwingine ili kuendeleza kazi hiyo.
---

John Ngumi was one of the favourite appointees to the boards of plum parastatals, but his fortunes have changed for the worse under the reign of President William Ruto during which he has exited the boards of Safaricom and now KQ, two firms in which the government has a significant stake.

Investment banker and boardroom veteran John Ngumi has resigned from the Board of national carrier Kenya Airways (KQ) bringing to a close a run of four years in the top decision-making organ of the airline.

Mr Ngumi was one of the favourite appointees to the boards of plum parastatals, but his fortunes have changed for the worse under the reign of President William Ruto during which he has exited the boards of Safaricom and now KQ, two firms in which the government has a significant stake.

In a notice released by KQ Board chairman Michael Joseph, Mr Ngumi, who has been serving as the chairman of the Board’s Audit and Risk Committee, said he is satisfied with the work he has put in at the airline and leaves the arena for others to build on it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…