John na mpira John na mpira

John na mpira John na mpira

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,553
Reaction score
41,467
Hili hili tangazo ukilisikia huwa unafikiria kama navyofikiria mimi

Huyo john hatoi pasi anapiga vyenga tu

Huyo mtangazaji sasa ana sauti nzuri angekua anatangaza mpira ningeacha kuuangalia kwenye tv

Huyo John uhodari wake anamzidi hadi Messi

Anayeweza kumfahamu huyu mdada
msaada pls

Nb:Hili ni tangazo la Dume Condom
 
Ngoja waje wanaobeti kwa messi wakutolee mipovu, na jana alivowadisapoint
 
Hili hili tangazo ukilisikia huwa unafikiria kama navyofikiria mimi

Huyo john hatoi pasi anapiga vyenga tu

Huyo mtangazaji sasa ana sauti nzuri angekua anatangaza mpira ningeacha kuuangalia kwenye tv

Huyo John uhodari wake anamzidi hadi Messi

Anayeweza kumfahamu huyu mdada
msaada pls

Nb:Hili ni tangazo la Dume Condom
Mimi huwa linanipa nanihii tu.......mtangazaji anajua kweli kulisikilizia goli!
 
MO 11

John sio wa mchezo mchezo aliwahi kuwavimbisha matumbo masista wa mtaa flani

Yemi alade njoo utupe taarifa kamili huku
Kwani alade yupo humu ??
 
Mimi huwa linanipa nanihii tu.......mtangazaji anajua kweli kulisikilizia goli!
haka katangazo nakapenda kweli
siku nimekaa mara nasikia john na mpira
hatari sanaa
 
Mtangazaji anatangaza mpira kwa sauti za mgandisho, anatangaza kama yupo na John gheto vileee kumbe John yupo uwanjani na anapiga bao kweli.
 
huyu dada anaetangaza anakipaji cha kipekee sana, yan saut tu inakuacha hoi ata bila picha wala video
 
Back
Top Bottom