John Mrema: In Denmark

John Mrema: In Denmark

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
[h=5]HUKU DR SLAA HUKU JOHN MREMA NI MAPAMBANO KWA KWENDA MBELE
[/h][h=5]Denmark....Bilateral talks.....[/h]
 

Attachments

  • 995999_10201478260051791_1247154601_n.jpg
    995999_10201478260051791_1247154601_n.jpg
    47.5 KB · Views: 834

Haya na wewe kweli Unaishi Uingereza Unajenga MATABAKA ya KIKABILA? Tulidhani ukiishi UK Unaipenda Demokrasia ya kweli

Sasa Ina Maana wewe ni doa jeusi ndani ya UK; Kwani kwa CCM Rais yuko Nje ya NCHI na TEAM ya Mawaziri na Wakurugenzi Ulijaribu kuangalia kama hilo jina MWAKASYUKA pia lipo?

Kwahiyo hiyo BIASHARA yako HAUTA TAKA ku-deal na watu wa KASKAZINI wao ni MANGI @ the same time unawatumia for your own popularity; SHAME ON YOU...

Nape Nnauye alikemewa akaacha kuongelea CHAMA cha KASKAZINI lakini naona wewe ndio LIMBUKENI; na Umesoma
InaMaana Elimu na Uelewa unakupa SHIDA imekufanya MLAFI haujui what's better for your life anymore...

Kaka hii takataka Lukosi haina shule kabisa .Iko kwa wazungu they never chased him out for beingb black , african , Tananian .Hana shule huy uwezo wake mdogo sana wa kuangalia issues ndiyo maana anadhalilika kwa comments zake .Sasa John Mrema kaenda kwa nafasi yale aliyo nayo .Sasa Mwasakyusa kama yuko CCM aletwe leo Chadema kisa safari ? Huyu jamaa mweli ngiri maana anasahau mapema .
 
Asante sana , tupige kazi kama siafu , ushindi uko karibu sana .
 
Back
Top Bottom