OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Je unaweza kutusaidia kupata majibu ya Changamoto hizi chini ya Utawala wa CCM. Badala ya kuzungumzia mambo ya Zitto Kabwe ndani ya Chama chake?
1. Kuboresha Elimu
2. Kusaini mikataba safi
3. Kuwakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Ile sera ya kuvua Magamba ilifia wapi?
5. Madawa ya Kulevya
6. Ufisadi utakomeshwa lini?
7. Kuuawa kwa Tembo na Biashara ya Menno na pembe za Tembo
8. ununuzi wa magari ya kifahari
9. Gesi itachimbwa wazawa sio wageni tena
10. Ajira
11. Azimio la Arusha
12. Air Tanzania itarudi lini?
13. Watuhumiwa wa makosa mbalimbali mbona hawakamatwi?
14. Ripoti ya mabomu kule Arusha itatolewa kweli?
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na utengenezaji na uuzaji wa Juice
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....
Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??
Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga
tumechoka na tabia za ubaguzi.....
Cc: Chadema wahafidhina
ukisema sema haya weka na ushahidi vinginvyo ukitaka kujua kwamba zitto hakubaliki jana walipima upepo itv uliona mjadala na alitetewa na wana ccm pekee pale ndani .zitto anaweza kutoa chadema akaanzisha chama chake akawa mwenyekiti huko na atakuwa kesha achana chama kibaya cha chadema .
Mtaweweseka sana mwaka huuKiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....
Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??
Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga
tumechoka na tabia za ubaguzi.....
Cc: Chadema wahafidhina
acha uongo.njoo uthibitishe haya!ni kamati gani hiyo?
CHADEMA hawampendi Zitto!... si ahamie CHAUMMA?... Au CCM wanaomfagilia kila siku?Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....
Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??
Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga
tumechoka na tabia za ubaguzi.....
Cc: Chadema wahafidhina
Acha uongo.Njoo uthibitishe haya!Ni kamati gani hiyo?
Kinachonipa taabu ni watetezi wa Zitto kuwa member wa CCMkamati ya siri hyo imeundwa na mbowe kwenda kueneza mabaya ya zzk
mnamuogopa mtu mpka mbafanya mbinu chafu daahhh
wahafidhina kwishney
kamati ya siri hyo imeundwa na mbowe kwenda kueneza mabaya ya zzk
mnamuogopa mtu mpka mbafanya mbinu chafu daahhh
wahafidhina kwishney
Kiongozi wa msafara kanda ya ziwa aliyetumwa na kamati ya chadema ili kuzunguka nchi nzima kutangaza mabaya ya zitto kabwe ameumbuliwa na kikao cha madiwani na wanachadema ....
Madiwani waliuliza kwann zitto hakufukuzwa toka zamani mpaka musubiri kipindi cha uchaguzi ??
Wakafika mbali na kusema km zitto akifukuzwa basi muwalete madiwani kutoka kilimanjaro waje kushika nafasi zetu huku shinyanga
tumechoka na tabia za ubaguzi.....
Cc: Chadema wahafidhina
Mbona kuna chama cha WASUKUMA UDP kwa nini wasihamie huko?ushahidi kamili muulizeni john mrema kilichomkuta huko shinyanga
ameumbuka vbaya vbaya ...
Mnaambiwa mjadala umeisha huku nyuma wanazunguka na kutuma watu wakapakaze mabaya ya zitto
Je unaweza
kutusaidia kupata majibu ya Changamoto hizi chini ya Utawala wa CCM.
Badala ya kuzungumzia mambo ya Zitto Kabwe ndani ya Chama chake?
1. Kuboresha Elimu
2. Kusaini mikataba safi
3. Kuwakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Ile sera ya kuvua Magamba ilifia wapi?
5. Madawa ya Kulevya
6. Ufisadi utakomeshwa lini?
7. Kuuawa kwa Tembo na Biashara ya Menno na pembe za Tembo
8. ununuzi wa magari ya kifahari
9. Gesi itachimbwa wazawa sio wageni tena
10. Ajira
11. Azimio la Arusha
12. Air Tanzania itarudi lini?
13. Watuhumiwa wa makosa mbalimbali mbona hawakamatwi?
14. Ripoti ya mabomu kule Arusha itatolewa kweli?
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale
watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale
wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na
utengenezaji na uuzaji wa Juice
ndani ya katiba ya chadema toleo la 2006. Katika kanuni za uendeshaji kazi za chama. Sura ya 10, ibara ya ix, imeandikwa: "kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi vya kuchonganisha au kuzua migogoro ndani ya uongozi wa chama au wanachama wake."
na katika katiba hiyo hiyo sura ya 7 kuhusu kazi za kamati kuu, ibara ya 7, ibara ndogo t, imeandikwa: "kufanya uamuzi juu ya mapendekezo ya kufukuza mwanachama." na ibara ndogo v, imeandikwa: "kumwachisha ujumbe wa kamati kuu mjumbe mteule ambaye ataenda kinyume na katiba, kanuni na maadili au kushindwa kukidhi matakwa ya kuteuliwa kwake."