GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Lisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.

uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu 🐒
 
Yes.... Akikata rufaa atakuwa within range..... Itasikilizwa early February 2026 baada ya wiki ya sheria
 
It is only the lips that lick the unwashed ass can utter these nasty words. Phew!!!
calm down gentleman,
avoid unnecessary insults to JF members and to the puppet lisu himself 🐒
 
uko sahihi gentleman 👊
Na wasipokata rufaa, Jamhuri ikate rufaa. Huu utando wa buibui wa kisheria kadri unavyojaa, ndivyo unakufunga funga kama nzi anavyofungwa na buibui. Lazima mtu aombe pooo!
 
Lisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.

uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu 🐒
Pamoja na kuandika haya mashudu still unaenda kulipwa posho kwa kazi hii 😢😢😢
 
Lisu anaenjoy zaidi kuishi korokoroni ukonga kuliko uhamishoni ubeligiji.

uropokaji unaokiuka sheria, ujuaji wa kijinga na ubishi wa kilofa vinamsulubisha vizuri sana.
ni Lazima atanyooka tu 🐒
Tlaatlaah naona baada ya wajumbe kukula kichwa umerudi kwa Kasi ya ajabu. Karibu tena jukwaani.
 
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu.

Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

Amesema kuwa wataangalia namna ya kushauriana na Tundu Lissu waangalie namna wanavyoweza kukatia rufaa maamuzi hayo.

Chadema imejazwa mapandikizi mengi sana. Huyu kijana wa Kikwete anataka tu kurefusha mambo! Kuna haja gani ya kushinda mahakamani kila siku? Waende Mahakamani Lissu akubali alitaka kufanya uhaini kwa kupindua nchi kwa maneno ili hukumu itoke haraka hata kabla ya uchaguzi.
 
ambwenyenye ya magharibi hivi sasa ndio yanagundua kumbe walikua wanamfadhili lofa 🐒
Still unazid kukaa uchi bila kujijua unabwatuka tu!! Lofa ambae mnapambana nae na kumuweka gerezani ili asizishe ushawishi kwa Watanzania zaid ya nusu ya idadi yote!! Mwenye akili ya kawaida hawez mmbeza Lissu cz impact yake inajulikana na kuonekana kwa kila raia, haiwezekan upambane na lofa every where!!!
 
Back
Top Bottom