GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Nakumbuka ile kauli yake au nukuu yake maarufu sana aliyoitoa Bungeni July 2012 kuwa Taifa lilifika lilipokuwa limefika PABAYA "SABABU YA UDHAIFU WA RAIS KIKWETE" Wengi hawakumuelewa na wengine kumjia juu lakini kuna mambo aliyaona john mnyika ambayo wengine hawakuyaona. nchi ilifikia hatua mbaya sana. watu waliiba pesa na kuiba na kuiba na kuiba watakavyo. watanzania wengi kodi zao zilitumika kinyume na maumbile ya utumikaji wake.
familia kadhaa zikajitajilisha sana kwa kupitia serikali ile na "udhaifu" wa kikwete ili wote waweze kula.
leo amepatikana rais mwenye nguvu tunamwona mnyika akiwa amenenepa na ametulia kabisa humsikii tena akikemea na nikapata kujiuliza je amepata Rais aliyemtaka? ambaye atajaribu kuziba mianya ya watu kutuibia pesa kwa kiwango kikubwa namna ile?