John Mnyika: Pinda ni muongo

Kama umefuatilia vizuri mwanasheria mkuu wa serikali ameyeyusha hoja ya Mnyika alipokuwa akimjibu Mbowe aliposisitiza azima ya Chadema kujitoa katika mchakato wa katiba
 
Wajinga waongo sasa hivi mary nagu hajui hata wizara eti anasema wizara ya kazi vijana na maendeleo ya michezo what a heck waziri hajui wizara
 
Tusipoteze sana muda kujadili tatizo lililopo Tanzania kutonana na PM efficiecy...tujadili kuijenga nchi yetu kwa vyovyote vile pasipo wazo lolote toka 'magambani'...!

Pinda + Workdone = Zero + wastage!
 
Kumbe kwenye Pi...... na Pu.......nda kuna uhusiano wowote????
 

Agreed....tuna tatizo kubwa mno kitaifa na kiuongozi, the crisis is just pyramidal....starting from the pick...
 
Hivi kwa mbunge kama mnyika unategemea atakuja na hoja nzuri zaidi ya manung'uniko? Toka kikao cha bajeti kimeanza hajachangia hata kidogo
 
Hivi kwa mbunge kama mnyika unategemea atakuja na hoja nzuri zaidi ya manung'uniko? Toka kikao cha bajeti kimeanza hajachangia hata kidogo
Kwani waziri Chikawe amejibu vipi hivi wewe una akili kweli?
 
Siku JK na Pinda wakifa nitafanya sherehe kubwa sana kufurahia!
 
Kuna uhusiano wowote kati ya Punda na Pinda? Ni matumizi ya falsafa ya lugha tu (Nkamia)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…