jinsi 'anavyo perfom bungeni now'
Kuna mtu mmoja lazima aamke huko huko alipo aje amsifie Mnyika.
Heheheheeee 'yule' eeeh?
Ka-perform nini hadi hivi sasa huko bungeni? Naomba unipe orodha ya mafanikio 10 aliyoyafanikisha hadi hivi sasa huko bungeni.
Ka-perform nini hadi hivi sasa huko bungeni? Naomba unipe orodha ya mafanikio 10 aliyoyafanikisha hadi hivi sasa huko bungeni.
Jina lako kwa kiswahili ni "NZI"
Kwa kawaida nzi huwa hali vitu visafi, atakula vichafu na vilivyooza kwa maana iyo hata maneno yako ni machafu kuliko hata nzi.
Usije sema ulikuwa unamaanisha fly ya kuruka mana hauendani na maana iyo.
Nziiii....!!
Kuna mtu mmoja lazima aamke huko huko alipo aje amsifie Mnyika.
Wenye macho wameona na wenye masikio wamesikia na wataendelea kuona na kusikia! Kama wewe unataka uletewe ushahidi hapa JF, endelea kusubiri!
Chadema ndio chama pekee cha upinzani hapa Tanzania ambacho wenyeviti watatu wamekabidhiana madaraka kwa njia za kidemokrasia, Ni mpuuzi pekee ndio hatoweza kuona uongozi wa Mbowe ndio ulioifikisha CHADEMA hapa ilipo, ikumbukwe wakati Bob makani anamkabidhi Mbowe Uenyekiti wa chama CHADEMA ilikuwa hoi.
Sasa basi kwa kifupi wazo lako ni zuri na mwenyekiti aliepo kwa sasa anakipeleka chama vizuri na John huu ni muda wake wa kujifunza muda muafaka ukifika wala hawezi kuwa na upinzani, namkubali sana Mnyika ni kijana ambaye mungu amemjalia kariba ya uongozi.
Kuhusu Zitto Kabwe sahau kabisa yule ni double Agent.
What has Mnyika done in the parliament that makes him stand out from the rest of the pack?