John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

Nachoshindwa kuelewa!
Hivi kukosoa ni kosa?
Na kwa kumtoa mtu bungeni si ndio umefanya hata ambao hatukuwa tunajua tujue kwa kuanzia na kuhoji sababu za kutolewa then tutajua kilichosemwa
Juu ya yote neno dhaifu si tusi ila lina maana yake iliyo wazi tu,labda naibu spika angeomba maelezo ya UDHAIFU upi na hata kwa maandishi apewe lakini si kumfukuza mbumge nje hayo ni matumizi mabaya ya kanuni kwani hata angefuta usemi wake ingefutwa katika Hansard tu na sio mmasikio ya wabunge,watanzania na hata rais mwenyewe
tukirejea hapo nyuma Mh Sitta aliwahi kumuambia Mh rais kuwa aongeze kali kidogo akiwa na maana hiyo hiyo kwamba sometimes lazima kuwe na kauli ya mwisho na yenye nguvu!!
 

Pambaf mkubwa wewe kwani zito alishatolewa mara ngapi? hilo ni tatizo la masuburi kutumika wakati wa kufikiri
 
Serikali ya CCM imezidi kuonyesha jinsi isivyo sikivu kwa watu wake. Leo Mh. Myika kakandamizwa na mfumo ya CCM , hautaki kumsikilza nini anachosema, wao wanatafsiri zao za haraka haraka, pili kufikiriwa. ndicho kilchomhukumu Mh. Myika leo.

Watanzania tumeona, na tumesikia, pia tunaijua nia yako.

Endelea na mapambano mkuu. Waeleze ukweli daima, usiogope.
 
Sijaelewa imani ya Zitto Kabwe ipo upande upi, nimeona akishangili kitendo cha kutolewa nje Mh Mnyika, ame RT moja ya TWEET kama hii:

Zittokabwe: RT @Vannmoo: Nidhamu ni kigezo kimojawapo katika siasa za kiungwana,alichokifanya Mnyika sio hekma na sikutegemea kabisa kutoka kwake.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hakuambiwa athibitishe? Au wameogopa kuumbuliwa? Big-up kamanda
 
Hata Bwana Yesu alisulibiwa kwa kusema ukweli. Nani anabisha kwamba JK si dhaifu?
 
mbona udhaifu upo wazi ...kubadilisha mawaziri mara kibao hio ni dalili moja wapo kubwa...
cdm kiboko hebu anglia wabunge wa ccm watakavyo anza kumsakama mnyika kama kuleee walivyomsakama lisu badala mjadala wa katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…