MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Uprofesa wa LIPUMBA una walakini sana...!
Hata kabla hajajiengua UKAWA nilishaona akili yake ina Mushkeli.

AMESEMA HIVII ....NAMNUKUU"
Hivi wewe Mnyika unajiona ni bora sana? Wewe umesoma Burundi?
View attachment 277139
Jamani mimi ni mwanaUKAWA...naomba tusiwe na upofu kujadili vitu tusivyojua vimereplace nini katika maana halisi aliyomaanisha J.Mnyika,KIUKWELI HAYO MANENO NI UJUMBE KWA DR.SLAA NA LIPUMBA.....NA KIUHALISIA HAPO HUYO SHEIKHE NI "DR.SLAA/LIPUMBA" NA HUYO MUUMINI ALIYESLIMU NI "EDWARD LOWASSA"...kwa hiyo anamanisha ameshangazwa sana na hajawai kuona walichofanya DR.SLAA kutorudi kwenye harakati za ukombozi na LIPUMBA KUIKACHA UKAWA kisa lowassa amepokelewa chadema na Ukawa pia na kama ni hivyo elimu yao haijawasaidia...hapo kwenye elimu anaweza akawa katumia maneno makali sana lakini ameonyesha ni jinsi gani anavyoumizwa na kitendo cha slaa kutorudi kwenye chama na lipumba kuikacha ukawa...kwasababu ya lowassa kupokelewa chadema na ukawa hivyo amechukulia kwa mwenendo huo elimu zao hazijawasaidia bado kama wameshindwa kukubali uhalisia juu ya lowassa pamoja na kueleweshwa kote kule.
Rudi darasani ukafundishwe maana ya neno SMART wewe na Mnyika wako.
Sasa kama wamesoma udaktari muhimbili mbona hawajaelimika hadi leo wagonjwa bado wanapelekwa nje ya nchi wakiwemo viongozi hii imekaaje kama siyo elimu duni