John Mnyika acha kudharau elimu ya Tanzania

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,622
Reaction score
3,696
AMESEMA HIVII ....NAMNUKUU"
Ni bora kutokwenda shule kabisa kuliko kuliko kwenda na kuelimika ndani ya Tanzania

Hivi wewe Mnyika unajiona ni bora sana? Wewe umesoma Burundi?
IMG-20150808-WA0001.jpg
 
AMESEMA HIVII ....NAMNUKUU"

Hivi wewe Mnyika unajiona ni bora sana? Wewe umesoma Burundi?
View attachment 277139

Ukiwa mkweli kwa nafsi yako utampongeza Mnyika,tupende UKWELI...Tunawasomi wengi ndani ya serikali hususani chama Tawala wamelisaidiaje Taifa lao?

Kama faida yao kwa TAIFA ni zero basi sioni sababu ya kumlumu Mnyika.
 
Wewe usomi wako umeisaidiaje taifa? Acha kupoint fingures. Tuanze na wewe
 
labda anavyoona kundi kubwa la sheeples linavyoburuzwa kibubusa ,hawafanani na usomi wao , mafuriko ya wajinga wasiofikiria mara mbili mbili ,kama kikombe cha babu kilivyowasomba ,haikujalisha wasomi na wasio wasomi.
 
May be....!!!!!!!
 
Nyumbulisha michango ya wasomi wa Tanzania ukianzia na Professor Machunda, uonyeshe umuhimu wao sasa na siku zijazo
 
Wewe usomi wako umeisaidiaje taifa? Acha kupoint fingures. Tuanze na wewe

acha kusujudu usomi wewe kuna wasomi wazuri kama akina chenge tibaijuka nawengine kibao ndio wameshiriki kuangamiza hili taifa bora tuongozwe na mtu ambae hajaenda shule lakini ana karama ya uongozi na sio elimu ya kukariri.
 
Yeeeeesuuuuuuuu na mariaaaaaaaaaaaaa....!!!!!!!!!! are you serious?
 
Wewe umesoma wapi?
Kusoma TZ si kigezo cha elimu bora.Ni mtoto gani wa viongozi wako wa ccm na serikali yake wanasoma hapa bongo?why hawasomi bongo?Acha ujinga watu tuna hasira
 
Back
Top Bottom