Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
- Thread starter
- #21
Mkuu umesoma vizuri historia ya unyama uliofanyika enzi za utumwa na ukoloni? Hivi leo (hata karne moja haijapita) tumeisha sahau? Mimi siwasapoti wachina na vile vile sioni tofauti yao na wazungu au wahindi. Wote wanatumaliza bila huruma, sema taktiki zao zinatofautiana.
Nakuunga mkono askari kanzu. vijana wetu kama wakin amshaka, basi inabidi wawe mstari wa mbele, siyo tu kuona mapungufu, bali pia kutoa suluhisho au mawazo mibadala ya kuisaidia taifa kuondokana na janga la wachina. You are a thinker man !!!