Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
- Thread starter

- #61

I am sorry that I also do not know the so called John Mashaka. It is not a crime not knowing somebody. If you happen to know him then let us know otherwise, just shut up! If he was so important in our lives then we would have known him by now. I do not think I can waste my time searching a common name like that.
Watu kama ninyi ndio mnaifanya JF ikose mwelekeo sasa. Kukemea wawekezaji uchwara ni kosa? Mnataka hata wauza ukwaju ama mkaa mtaani wawe wachina ama wazungu? Mwananchi wa kawaida atafanya nini? John Mashaka ameonyesha uzalendo na sio kibaraka kama ulivyosema hapa
ndo tatizo lenu tanzania mtu akisema kweli anadanganya kwa hiyo wewe unadhani amedanganya nini zinduka wewe

amedanganya kwamba wazungu wanaweza kuwa hatari kwa usalama na uchumi wa nchi. rais wetu anaaingaika sana kuleta hawa watalii alafu mtu analeta mambo yaeke ya kusoma darasani kujaribia uwezo wa wa tz kufikiri. huu ni upotoshaji

ah ah ah ah raisi wenu anaangaika kuwaleta ah ah ah
huyu mtoa mada inaonekana anaugomvi binafsi na John M, kwani alichosema JM ni kweli tupu tumeona wawekezaji nchi hii wakija bila ujuzi wowote na kupewasifa ya uwekezaji. Taifa tunapaswa kuangalia CV za hawa kwani wengine ni aibu.
Siku zote nlidhania huyu FISADI_ORIGINAL anatumia hilo jina just for funny & ID, kumbe anamaanisha tabia yake halisi! Aisee, kumbe inabidi kuyachukulia majina humu JF kwa uzito!
Huyu John Mashaka ni nan? who is he i mean?
mbona wewe ndio unatudanganya coz wawekezaji wengi tz ni uchwara
nina imani ungekuwa unasoma kwa umakini articles zake basi usingemtuhumu kwa ufisadi. Nakushauri ukarudie tena kusoma articles zake zote kuhusu economic affairs and financial analysis labda ndio utamwelewa vizurisina ugomvi na mashaka. wala simjui zaidi ya kumsoma magazetini, redioni na tv. na wala simuonei wivu, mimi nasimamia ukweli. JK amefanya kazi kubwa sana kuinyanyua tanzania kutoka katika umasikini. wakina mashaka wanapokuja na theory zao za wallstreet kujaribisha kwenye hakili za watanzania haiwezekani. atoe ushahidi kwamba wazungu wanahatarisha usalama wa nchi...atoe tuone
nina imani ungekuwa unasoma kwa umakini articles zake basi usingemtuhumu kwa ufisadi. Nakushauri ukarudie tena kusoma articles zake zote kuhusu economic affairs and financial analysis labda ndio utamwelewa vizuri
nina imani ungekuwa unasoma kwa umakini articles zake basi usingemtuhumu kwa ufisadi. Nakushauri ukarudie tena kusoma articles zake zote kuhusu economic affairs and financial analysis labda ndio utamwelewa vizuri

Hauna tofauti na fisadi original. Mashaka yohana ni moto wa kizazi Kimya katika hii nchi
Mheshimiwa Sheriff, ukweli ni kwamba. Mashaka hana uwezo wa kuandika yale makala. Anasaidiwa na wamarekani pamoja na CHADEMA wanaomtayarisha kuja kuiba malighafi zetu. kwanza mashaka ni mrundi siyo mtanzania
Namfahamu John Mashaka personally na niliwahi kuonana naye kwa mara ya kwanza in NYC in 2007 alikuja kazini nilipokuwa nikifanyia kazi kuonana na CFO wetu. Nilikuwa namsikia tu na nilibahatika kuteta naye kama nusu saa. Tuliendelea kuonana mara kwa mara toka hapo. The guy is well educated na anao more than uwezo wa kuandika makala nyingi.
Nimeshamwona live kwenye local TV akitoa analysis zake kuhusu global emerging markets/global investment banking na namkuballi. Hata wanyamwei huku wanamkubali. Shule ya investiment banking/global Finance imetulia na the guy has exceptional career in global investment banking. Wanaomjua John Mashaka personally watakwambia. Kama alivyosema Sherrif, jaribu kuzisoma articles zake kwa undani na utagundua JM ni mzalendo mwenye kuitakia mema Tanzania. Kikwete angekuwa smart angeweza kumpa JM awe either governor wa Central Bank ama Minister for finance. JM is by far more talented and competent than Nkullo ama Ndullu.
Nimemshuhudia kwa kumsikia kwa masikio yangu mwenyewe mbali ya kusoma articles zake.
Endelea kujifariji eti hana uwezo wa kuandika anachoandika na anasaidiwa na Americans.