SOURCE: DAKIKA 45 ITV BY SELEMANI SEMUNYU 24/09/2012 saa 3.00 usiku huu
1. Anasema siasa zetu zilipo fika hapa yeye alishajua tangu vyama vingi vinaanzishwa 1992
2. Anasema CCM kitashinda kwa kishindo kikubwa sana, haya yanayotokea sasa ni kelele za chura tu hazina mashiko
3. Anasema mtu atanayeonekana kujitapa kuutaka uraisi kwasasa huyo hafai, na tena tumtemee mate
4. Ufisadi anasema kweli upo, anasema leo kuna watz leo wanapesa sana wamezipata wapi?
Anasema alikuwa uingereza kuna mzungu alimwambia malecela kuna mtz alikuja hapo uingereza alinunua range rover akaisafirisha kwa ndege mpaka tzanaulizwa je kwa hali ilivyo kuhusu ufisadi je anadhani haya mapambano yatawezekana kutokomeza ufisadi?
Anasema inawezekana kukomesha kupitia takukuru, polisi na usalama wa taifa
HIVI HAPA ALIKUWA ANAFANYA NINI NA HAWA WAZUNGU?

huyu mzee boya sana, hata kama ingekuwa amechukuliwa twiga mmoja tu watu hatuwezi kukaa kimya......... Ameniudhi sana his way of thinking is very rudimentalAnavilaumu vyombo vya habari kuhusu kukuza maswala ya wizi wa twiga, anasema hakuna haja ya kupiga kelele, wala kulikuza kwa kuwa sheria zipo, anasema twiga waliokwenda uarabuni hata 50, au 20 hawafiki, naona anaonyesha maswala hayo as if ni maswala madogooooo sana daaaah kazi ipo hapa kama hawa ndio washauri wa jk
Anavilaumu vyombo vya habari kuhusu kukuza maswala ya wizi wa twiga, anasema hakuna haja ya kupiga kelele, wala kulikuza kwa kuwa sheria zipo, anasema twiga waliokwenda uarabuni hata 50, au 20 hawafiki, naona anaonyesha maswala hayo as if ni maswala madogooooo sana daaaah kazi ipo hapa kama hawa ndio washauri wa jk
HIVI HAPA ALIKUWA ANAFANYA NINI NA HAWA WAZUNGU?
Hapa miguu yake alikuwa ameitoa kwenye debe la "kiwi au lami"?