John Malecela: CCM itashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu mwaka 2015

chama hakijui kwanini tz ni masikini sijajua wataweza kuikwamua tz. ili uweze kutatua tatizo lazima ujue chanzo cha tatizo CCM haijui kwanini tz ni maskini hivyo lazima ikae nje
 
Oh dear........when an octogenarian tries to ''protect'' his forty-something baby's ''future'',......he can utter anything!.....just to make sure that the offspring doesn't starve!
 
SOURCE: DAKIKA 45 ITV BY SELEMANI SEMUNYU 24/09/2012 saa 3.00 usiku huu

1. Anasema siasa zetu zilipo fika hapa yeye alishajua tangu vyama vingi vinaanzishwa 1992

2. Anasema CCM kitashinda kwa kishindo kikubwa sana, haya yanayotokea sasa ni kelele za chura tu hazina mashiko

3. Anasema mtu atanayeonekana kujitapa kuutaka uraisi kwasasa huyo hafai, na tena tumtemee mate

4. Ufisadi anasema kweli upo, anasema leo kuna watz leo wanapesa sana wamezipata wapi?

Anasema alikuwa uingereza kuna mzungu alimwambia malecela kuna mtz alikuja hapo uingereza alinunua range rover akaisafirisha kwa ndege mpaka tzanaulizwa je kwa hali ilivyo kuhusu ufisadi je anadhani haya mapambano yatawezekana kutokomeza ufisadi?

Anasema inawezekana kukomesha kupitia takukuru, polisi na usalama wa taifa

2015 kuna chaguzi nyingi, labda kama ana refer Kata ya nyumbani kwake Mtera.
 
HIVI HAPA ALIKUWA ANAFANYA NINI NA HAWA WAZUNGU?

5dba17f2-f377-4147.jpg
 
SOURCE: DAKIKA 45 ITV BY SELEMANI SEMUNYU 24/09/2012 saa 3.00 usiku huu

1. Anasema siasa zetu zilipo fika hapa yeye alishajua tangu vyama vingi vinaanzishwa 1992

2. Anasema CCM kitashinda kwa kishindo kikubwa sana, haya yanayotokea sasa ni kelele za chura tu hazina mashiko

3. Anasema mtu atanayeonekana kujitapa kuutaka uraisi kwasasa huyo hafai, na tena tumtemee mate

4. Ufisadi anasema kweli upo, anasema leo kuna watz leo wanapesa sana wamezipata wapi?

Anasema alikuwa uingereza kuna mzungu alimwambia malecela kuna mtz alikuja hapo uingereza alinunua range rover akaisafirisha kwa ndege mpaka tzanaulizwa je kwa hali ilivyo kuhusu ufisadi je anadhani haya mapambano yatawezekana kutokomeza ufisadi?

Anasema inawezekana kukomesha kupitia takukuru, polisi na usalama wa taifa

Huyu mzee!!! Hata sina maneno ya kusema juu yake.

Kachoka halafu hajabaini hilo... Sasa hivi haya majukwaa amuachie mwanaye na mkewe...
 
Anavilaumu vyombo vya habari kuhusu kukuza maswala ya wizi wa twiga, anasema hakuna haja ya kupiga kelele, wala kulikuza kwa kuwa sheria zipo, anasema twiga waliokwenda uarabuni hata 50, au 20 hawafiki, naona anaonyesha maswala hayo as if ni maswala madogooooo sana daaaah kazi ipo hapa kama hawa ndio washauri wa jk
huyu mzee boya sana, hata kama ingekuwa amechukuliwa twiga mmoja tu watu hatuwezi kukaa kimya......... Ameniudhi sana his way of thinking is very rudimental
 
Anavilaumu vyombo vya habari kuhusu kukuza maswala ya wizi wa twiga, anasema hakuna haja ya kupiga kelele, wala kulikuza kwa kuwa sheria zipo, anasema twiga waliokwenda uarabuni hata 50, au 20 hawafiki, naona anaonyesha maswala hayo as if ni maswala madogooooo sana daaaah kazi ipo hapa kama hawa ndio washauri wa jk

Alijiita Tingatinga lakini alipigwa mweleka na mjinga mmoja mwenye matusi machafu kama tundula choo, mpaka leo amekuwa frustrated mpaka anaugua ugua hovyo. Siku ile CCM itakapo ng'olewa lazima ata "job hundred" kama siyo ku-RIP!
 
Kwa kishindooooo!
LABDA WAIBE KURA. hivi hivi noooo!
Tumewachoka na ahadi zao hewa.
 
SOURCE: DAKIKA 45 ITV BY SELEMANI SEMUNYU 24/09/2012 saa 3.00 usiku huu

1. Anasema siasa zetu zilipo fika hapa yeye alishajua tangu vyama vingi vinaanzishwa 1992

2. Anasema CCM kitashinda kwa kishindo kikubwa sana, haya yanayotokea sasa ni kelele za chura tu hazina mashiko

3. Anasema mtu atanayeonekana kujitapa kuutaka uraisi kwasasa huyo hafai, na tena tumtemee mate

4. Ufisadi anasema kweli upo, anasema leo kuna watz leo wanapesa sana wamezipata wapi?

Anasema alikuwa uingereza kuna mzungu alimwambia malecela kuna mtz alikuja hapo uingereza alinunua range rover akaisafirisha kwa ndege mpaka tzanaulizwa je kwa hali ilivyo kuhusu ufisadi je anadhani haya mapambano yatawezekana kutokomeza ufisadi?

Anasema inawezekana kukomesha kupitia takukuru, polisi na usalama wa taifa

Huu ni ushenzi na wendawazimu ambao haukubaliki,ni bayana kila mtu anajua kuwa TiBiC ni shirika la umma na linaendeshwa kwa kodi zetu watanzania ambao tuna vyama na wengine hatuna vyama iweje leo TBC wabague habari za CHADEMA eti kwa vile ni chama kilichoikaba kooni CCM, na hii ni bayana kwa vile wakati wa kampeni za uchaguzi mzee Tido Datsun aliruhusu chombo hicho kiendeshe na kurusha kipindi cha mchakato majimboni ambapo kila mgonmbea aliruhusiwa kunadi sera za chama chake, na ilipobainika magamba wanabanwa sana huko majimboni,watawala na makuhani wa Ikulu ya Magogoni walijenga hoja kuwa eti uwazi na Demokrasia iliyoonyeshwa na TiBiC ya Tido ilihujumu magamba na kupelekea CCM kuyatema eti majimbo zaidi ya 25, huu ni uchuro na kwa sasa lazima TiBiC muelewe watanganyika hatudanywi hizi ni zama zingine kwa Taarifa yenu hata mvuto tena hamnao kwa watanganyika 85%,wengi wa wapenzi tuliowashabikia kipindi cha Tido tumeshahamia vituo vingine ambavyo haviendeshwi kwa rimoti control kutoka state house, endeleeni tu kutapatapa kutafuta mchawi, na bado mtaisoma namba kamwe hatutadanganyika,yaani kila ovu la serikali yetu manalificha hata mauaji ya Mwangosi David mlituficha, kilichobaki endeleeni kupiga propaganda za Magamba,Sasa naanza kuamini TIBIC na Magamba ni majanga ya kitaifa na hayakubaliki,haiwezekani sisi tunamuona kwa macho yetu mfalme na wasaidizi wake wako uchi na nyie huku mnataka tujiapize na kuamini kuwa wamevalia nguo,katu haturubuniki kwa lolote mmechelewa na magamba yenu Tanzania bira SISIEMU inawezekana kabisa siku ccm itakapoacha kuwa kimbilio la wanyonge watanzania watachagua chama kingine-nyerere J.Kambarage..
 
SOURCE: DAKIKA 45 ITV BY SELEMANI SEMUNYU 24/09/2012 saa 3.00 usiku huu

1. Anasema siasa zetu zilipo fika hapa yeye alishajua tangu vyama vingi vinaanzishwa 1992

2. Anasema CCM kitashinda kwa kishindo kikubwa sana, haya yanayotokea sasa ni kelele za chura tu hazina mashiko

3. Anasema mtu atanayeonekana kujitapa kuutaka uraisi kwasasa huyo hafai, na tena tumtemee mate

4. Ufisadi anasema kweli upo, anasema leo kuna watz leo wanapesa sana wamezipata wapi?

Anasema alikuwa uingereza kuna mzungu alimwambia malecela kuna mtz alikuja hapo uingereza alinunua range rover akaisafirisha kwa ndege mpaka tzanaulizwa je kwa hali ilivyo kuhusu ufisadi je anadhani haya mapambano yatawezekana kutokomeza ufisadi?

Anasema inawezekana kukomesha kupitia takukuru, polisi na usalama wa taifa

Huu ni ushenzi na wendawazimu ambao haukubaliki,ni bayana kila mtu anajua kuwa TiBiC ni shirika la umma na linaendeshwa kwa kodi zetu watanzania ambao tuna vyama na wengine hatuna vyama iweje leo TBC wabague habari za CHADEMA eti kwa vile ni chama kilichoikaba kooni CCM, na hii ni bayana kwa vile wakati wa kampeni za uchaguzi mzee Tido Datsun aliruhusu chombo hicho kiendeshe na kurusha kipindi cha mchakato majimboni ambapo kila mgonmbea aliruhusiwa kunadi sera za chama chake, na ilipobainika magamba wanabanwa sana huko majimboni,watawala na makuhani wa Ikulu ya Magogoni walijenga hoja kuwa eti uwazi na Demokrasia iliyoonyeshwa na TiBiC ya Tido ilihujumu magamba na kupelekea CCM kuyatema eti majimbo zaidi ya 25, huu ni uchuro na kwa sasa lazima TiBiC muelewe watanganyika hatudanywi hizi ni zama zingine kwa Taarifa yenu hata mvuto tena hamnao kwa watanganyika 85%,wengi wa wapenzi tuliowashabikia kipindi cha Tido tumeshahamia vituo vingine ambavyo haviendeshwi kwa rimoti control kutoka state house, endeleeni tu kutapatapa kutafuta mchawi, na bado mtaisoma namba kamwe hatutadanganyika,yaani kila ovu la serikali yetu manalificha hata mauaji ya Mwangosi David mlituficha, kilichobaki endeleeni kupiga propaganda za Magamba,Sasa naanza kuamini TIBIC na Magamba ni majanga ya kitaifa na hayakubaliki,haiwezekani sisi tunamuona kwa macho yetu mfalme na wasaidizi wake wako uchi na nyie huku mnataka tujiapize na kuamini kuwa wamevalia nguo,katu haturubuniki kwa lolote mmechelewa na magamba yenu Tanzania bira SISIEMU inawezekana kabisa siku ccm itakapoacha kuwa kimbilio la wanyonge watanzania watachagua chama kingine-Nyerere J.Kambarage..
 
Sisiemu ilishakufa tangu BMW alipoondoka madarakani, inabidi uwe na roho ya mwendawazimu au roho ya maiti ili kuitetea Sisiemu, Hiki kibabu hata magamba walikitemesha mpunga baada ya chenyewe kuonekana ndumila kuwili na hakikuwepe kwenye mtandao wa JeiKei a.k.a Vasco Dagama. Kila mtu alikuwa anajua 2005 hakikuwa katika wanamtandao wao, leo kinajikosha kimeisha hicho, cha ajabu pia eti hata mahari kaliyotoa eti ilitoka kwa Gabachori aliyeyatoroka akajivua Magamba.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom